opposite ya barabara kuna makaburi ya mashujaa na shule ya msingi Amani dah kitambo sana 2002.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nimempata
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umemgomga jini maimunaaa

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo haikua zinaa Comrade ilikua n fangus,,,so Kuna dawa imungemeza ingekua chap sana
 
baharia ulikuwa unatania kuhusu Tigo, au ndiyo ilikuwa gia ya kuiomba?? 😁😁😁
 
Hiyo haikua zinaa Comrade ilikua n fangus,,,so Kuna dawa imungemeza ingekua chap sana
Aaaaah ok comrade nimekupata kaka... nashukuru baada ya kumuambia ukweli alianza dozi na kuna siku aliniletea tena mzigo, sema nilikula na ndom japo kuna muda goli la 3 liligoma kabisa kuja nikatamani nivue ndom ila roho ikawa inasita sana aisee
 
Chai
 
Sio kweli
 
Kawaida hiyo comradeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi sana... Miamba kama nyie ndo wazuri kwenye Kazi umetisha sana Mwanaume.
Umeutendea Mema huu Uzi.
 
Kama mkate kwenye tea.. will you marry her... Turururuuu.... Kama vie ni tea ololoo
 
toa hayao maufundi wakuelewe huenda hawana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…