Ahahaha nimeshasepa kaka, kama bado upo MU nikija ntakutafuta kaka ,hapo kwenye banda la nyama huko palikuwa na warembo fulan hivi wamevaa kama form six nyeupe hivi .

Uliwaona wale wadada wanaoshindana kunengua[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliwaona Mzee nikawamezea mate nipo mzee Mpaka wa 7 hivi ndo ntakuwa nmemalizana napo uku MU
 
Katika makuzi ya maisha ya mapemzi hakuna formula. Nikiwa hapohapo kwenye hostel hizohizo wakati huo karibia shule yetu nzima ya advance na darasa zima la six limemwagwa kukawa kama vile bado tupo kiadvance..tembelea sana block A kwa wadada ambao tulipiga nao advance.

Mambo ya birthday nini kwa wadada walioingia dar kwa sababu shule ndio imewaleta Town.. ikawa kwa wingi sana. Kila wakati nipo kwenye room ya hao wadadaniliosoma nao na kuna mdada wa kinyambo wanaishi nae humo ingawa aliwazidi mwaka.

Nasema hakuna formula kwakuwa mi nilikuwa zangu cool sana lakini kila nikiongea mdada wawwatu wa mwaka wa tatu ananiambia mi mcheshi sana.

Ghafla tu pepo likaniambia mwambie nataka nikutoe out leo usiku..kitu kikatick akasema ngoja mida ya saa mbili..

Hela nnayolipia mpaka leo ilikuwa inasoma kwenye akaunt..mida ikafika somesha mnyambo twende nje kwenye chips samaki..achana na RB. kaelekea kibra.

Tukafika zetu palepale, agiza zangu ugali samaki mkubwa na maji kubwa, akaagiza zake chips tumekaa zetu ghorofani kwenye makuti. Nikagusia tu siwezi kukaa nje kwanza mie njuka we nwaka wa tatu mi naenda kuchukua room tuhamie ndani...ajabu hakubisha kachukue lakini mie sijajiandaa sifanyi chochote nataka kurudi mapema. Sikumkatalia...OK.

Hamishia kila kitu ndani, tunafika story za hapa na pale gusa hapa gusa pale katulia tuli...fungua code moja baada ya nyngne katulia tu...cheki time saa nne nilipiga mpaka asubuhi..ile tunatoka asubuhi sana..uso nna macho na mwaka wa kwanza wenzangu nipo na mdada wa mwaka wa tatu portable shape ya kinyarwanda..wakaanza kuniita jina la jack Bauer wakati huo 24hrs ndio series Motooo.

Nikamrudia siku nyngne kwa appointment nikaachama na mchezo huo kabla wale wenye room hawajastuka mana nilikuwa naonekana innocent man
 
Wakuu Niko namalizia doz ya malaria ila jna msabato mmoja alikuja geto kunijlia Hali baada ya kumuambia naumwa kilichotokea hta mm mgnjwa cjui lkn aliliwa kimasihara na la mkwezi, kauli ninayokumbuka kutoka kwake lkn ww unaumwa
Huku ipo ndani
 
Ungefia ktandan kak, afya kwnza k zipo tu
 
Mkuu kweli kabisa, ila PESA usiilete mchezo mkuu, unaweza ukamla mtu kimasihara kabisa, ukajaa mazima, tatizo linakuja huwez kum contains mtoto wa watu kwasababu tu huna pesa, umependa na wewe alikukubalia sababu ya your looks and all the later you said, linatokea jamaa linaweza likafix mambo madogo madogo linaanza kumkaza, utajisikiaje? Anyways being a Man is very very tough yan unatakiwa uwe na full package au 75 ya vitu ambavyo wanawake wanatakaga, wanawake wa mjini wanadate na watu waa aina tatu au nne nao ni

1. Mwanaume anaempenda, huyu atampa pussy si anampenda.. Ila sababu hana hela mwanamke hajali why? Ana mwanaume namba mbili.

2. Mwanaume mwenye pesa/mzee mwenye pesa, huyu anajua akimtikisa muda wowote anapata pesa hapa ndio wastaafu wanapowarukia mademu zetu

3. Mwanaume ambae is a Good guy, sasa hili ni zoba, mara nyingi wanawake huwa wana miss enterprate being good na ufala, so huyu fala ye atalitumia kufanye chores za nyumbani and all a man can do in a house, huyu ni yule fala Mwanamke anakaa ilala boma, lenyewe linakaa bunju B, analipigis simu liende kariakoo likamunulie vitu na lilivyofala linatoka bunju mpaka kariakoo linafanya mahemezi linaenda kwa mwanamke linafikisha vitu linapewa busu la shavu linaanza safari ya bunju b mana bunju b ni kama bagamoyo tu, hili fala haliwez sema no. Na wa mwisho ndio

4. A MANDINGO, a person who fucks her good... Huyu sasa haendeshwi wala hasumbuliwi na muda wowote akitaka pussy anapewa..

Women are very complicated my G, the less you concentrate on them the more they become attractive to you, the way women define on how somebody is mascular and sexually virile has nothing to do with your cute lillte light skin face...
 
Now you're talking.

Kuna mwanamke alijilengesha kwa jamaa amle kisa ambebeshe mimba kisa ni Good looking (HB) akitegemea combination yao itatoa katoto kazuri. Mwingine ile kumuona jamaa kalowa anatamani hata sex ya siku moja aone yaliyomo yamo. Na hapo ndio mwanaume kama ni mwepesi wa kujiongeza anajikuta anakula kimasihara wengi.

Kiuhalisia mambo haya hayatabiriki what you think is everything in life is not everything as well. Kuna watu wameng'oa visu vikali kwa nguvu ya pesa lakini bado wanawake hao wanagongwa na mamarioo, mahauseboy, waosha magari na wengineo.

Mara nyingi mwanamke analiwa kirahisi bila matarajio ya mwanaume kama tayari moyo wake una hisia na mwanaume huyo sio ilimradi mwanaume. Na wanaume inabaki kuwa masihara kwa kuwa hatukutarajia na imetokea tu tumenusa hali ya hatari mambo yamekubali.
 
Huu mchezo nimewahi jaribu wa kupiga game wakati niko kwenye dozi ya Malaria maana ilikuwa nikokosa ile chance ndio ilikuwa nitolee. Kiukweli nilitaka kufa. Siji kurudia. Malaria ilirudi na nguvu mara kumi zaidi na tuko porini kikazi. Yaani hiyo kitu ni don't try at home or anywhere afya kwanza.
 
OK ofsaa
 
Yani usijaribu mzeee[emoji3][emoji3][emoji3] Utakufaa unajionaa nakwambia.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] lingusenguse ndani ndani
Kote huko Lusewa lingusenguse tena. Kama ulikuwepo vile. Tulitoka Amani Makolo na kwenda huko Lusewa lingusenguse na kote nilipigwa Malaria kwa kosa moja la kuendekeza ngono nikiwa naumwa na niko kwenye dozi.
 
Kote huko Lusewa lingusenguse tena. Kama ulikuwepo vile. Tulitoka Amani Makolo na kwenda huko Lusewa lingusenguse na kote nilipigwa Malaria kwa kosa moja la kuendekeza ngono nikiwa naumwa na niko kwenye dozi.
Pole sana mkuu
 
Ungekufaaa


Mzee wa bibo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…