Eheeee [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Kakupiga viwili?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
School moto: Mastery for service

Kwa mara ya kwanza nimepata school mate nimepiga chata hapo........
Mm sikuwai kupenda ma disco na mpka namaliza A_Level sikuwai kwenda Rugambwa...
Watu waliazima nguo, walienda saloon, perfume 😊😊
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Wasalaam
Kwa Sasa+267
 
Malaya huyo babu ha ha
 
Niko Mwanza shekhe, tunafanyaje?
 
Habari za Botswana boss....inbox me please
 
Ila wabongo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie Lyamungo mademu zenu walikuwa Machame girls, Sisi Umbwe mademu zetu walikuwa Kibosho girls, Weruweru na Ashira girls...tumewabambia sana kwenye ma-concerts
Alafu mkawala madada zetu wa Mlama sec nyambafu yaani wapo hapo tu.
 
Kuna mtu kahoji hivi.

Kama kweli Mungu anatupenda watu wake, na anajua hakika adui yetu ni shetani, na Mungu ni mwenye uwezo wa kufanya lolote dhidi yake, kwa nini aruhusu mwanae wa pekeee afe ili kutuokoa badala amuue shetani mambo yawe rahisi tu?
 
Let me guess MAHALEEEEEEEEEE maana ndo hotel ya maagents wa serikali[emoji91][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…