Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 860
Fresh mkuu ila siku ingine usirudie kula kamanda ni kuridhalilisha jeshi la wananchi[emoji16][emoji16]Mwezi wa tatu mwaka 2020 kipindi cha corona nili hama nyumba nikaenda nyumba fulani mitaa ya jiji la dar, nilimkuta mwenye nyumba ni mjeshi hana mume ila ni bonge moja la mdada tukafahamiana pale basi nikawa mpangaji wake, nilimpa kodi kadhaa ingine nikaahidi kumalizia miezi miwili badaye, yaye alikuwa anaishi sehemu nyingine aliko na nyumba yake nyingine.
Mda wa kulipa ulipofika nikamwambia nataka nikutumie hela yako akaniomba niipeleke kwake nisiitume kwenye simu, sikuwahi kufika kwake akanielekeza mpaka nikafika ana watoto wawili wote wako boarding schools. ilikuwa jumapili mchana by saa 6 hivi nilimkuta mama kafunga kitenge tu anapika aisee yule mama kabarikiwa hata uwe mwanaume vipi huluki hakyanani! akanikaribisha sebuleni nikaakaa akaivisha nikala tukapiga story za corona paleee nakumbuka corona ilikuwa hot sana na kulikuwa na msiba wa mama Rwakatale, basi mda ukafika nikaaga kuondoka ilikuwa mida ya saa kumi hivi akaomba nimsubili na yeye anaenda mjini anipe na lift akaoge kwanza, Basi tulikuwa tumekaa kochi moja alikuwa amevaa kitenge kifuani na na chup.. tu aisee sijui nilitoa wapi ujasri nilijikuta namla mate tu pale pale kwenye kochi na akatoa ushirikiano mkubwa nikala tunda pale pale kimasihara badae kazi ikahamia chumbani mpaka asubuhi kabisa...Bado ni mpangaji wake mpaka sasa maisha yanaendelea poa tu. Big up kwako Commander.