Wale mnaokutana na madem bar, club hamjala kimasihara hao ni wauzaji tu hata akupe bure.
Usikalili maisha kijana... Sikuhiz club au bar waendaji sio wahuni au malaya... Otherwise useme kwenye vigodoro... Sikuhiz watu wanapenda kuinjoi mziki na vinywaji... Kwahio na hao wanaotongozwa wakiwa wanatoka kanisani au msikitini wote ni malaya..? Mwanamke kumla siku hiyohiyo uliyokutana naye inategemeana na uwezo wako wa akili na ujanja wa kujieleza na kushawishi... Ukiwa boya hata malaya atakunyima uchi...
Watu wengi tu wanaojitambua wanaenda club/bar... Achana na imani potofu maisha yamebadirika sana... Humu kuna watu wamesimulia wameoa wanawake ambao walikutana nao Guest,bar na club na maisha yanaenda vzuri tu...
Anyways nisikushangae sana maana sijui kwanza una umri gani na unaenda club/bar za aina gani... All in all tafuta pesa 😅
 
Atakuwa anashinda kimboka by night aka shamba la bibi, pale hakuna mke kuna malaya wachafu kuliko sehemu yeyote daslama
 
Hii ni chai au wewe ni mshamba na mwoga wa wanawake, yaani unatongozwa wee badala wewe ndio ujiongeze?
 
pole sana mzeiya.. ishawahi kunikumba hiyo, kuna manzi nilikuwa nakula kwa muda tu.. sasa nakumbuka siku ya mwisho kulala nae nikasafiri kwenda mkoa y, nikakaa kama wiki nikaanza kuona kama vimajimaji vinatoka kwenye mboo na kahisia fulani katamu kama unapiga bao hivi mixer kuchafua boksa lakini hakuna maumivu.. Nikavunga siku ya kwanza hadi ya 3..Nikamuelezea mshkaji wangu mmoja hivi akaniambia hiyo ni U.T.I inabidi utafute dozi ya Sindano ya powercef.. kwenda hospitali kupimwa daktari akaniandikia dozi nikaanza dozi kufika siku ya 3 naona mzigo ushaanza kupona, njikamalizia sindano zangu 2 mzigo ukapona kabisa.

Nilikaa sehemu husika mwaka mzima, mkoa Y kisha nikarejea mkoa X.. Siku moja nikarudia kupiga yule manzi bwana tena kavu, kuamka kesho yake naona tumaimivu na mboo inatoa mlenda japon safari hii ilikuwa kali zaidi na boksa zikawa zina harufu ya usaha kabisa.... nikajua kama kawa powercef zitafanya mambo nikaenda hospital nikaanza dozi ya sindano, mzigo ukagoma kutoka, nikabadili vidonge wapiiii, rudi kwenye sindano wapiii, kwenye vidonge tena wapiiii...Hangaika sana mwishowe mmoja akanishauri nijaribu AZUMA ndiyo mzigo kuachia...

Aisee nilimchana ukweli yule demu, kwamba inabidi akatibiwe na nikamwambia nilivyopitia akakubali na kunipa pole.. Tukaachana japo aliniletea siku moja nikapiga na ndom.. Ndiyo ikawa mwisho wa mimi na yeye, japo huwa tunaonana nqkupeana hai njiani..
 
Kwa hyo mbususu zina shida wadau[emoji854][emoji854]
 
Nyie Lyamungo mademu zenu walikuwa Machame girls, Sisi Umbwe mademu zetu walikuwa Kibosho girls, Weruweru na Ashira girls...tumewabambia sana kwenye ma-concerts
Lyamungo walikuwa na wivu sana. Mambo ya mademu yalipelekea wakaanzisha vita na Wana umbwe Ile 2008 tukaishia kuuana.
 

Enzi za ujana nilipata manzi mmoja wa chuo hapo UDSM. Ilikuwa ni pisi proper yaani matata. Ilakuwa na ka baby face and a very very sexy body, yaani kila kitu kime balance kuanzia the ass mpaka kiuno. Sasa huyu hakuwa KIMASIHARA ila ilichukua kama 2 weeks kutunukiwa. Sasa hio siku ya show, tulikuwa tumetoka out so baada ya vyombo nini nikarudi nae getho nikala. Sasa asubuhi naamka chumba nasikia harufu kama siielewi hivi. Mimi pua yangu ndio silaha, yaani nina nusa hatari. Baadae nikagundua ni papuchi, nikawahi kuoga na demu show ya asubuhi sikupiga kwa madai nawahi kibaruani. Aisee hio next day mambo yakaanza kuwa mambo. Mashine napata maumivu kwenda chooni ni kama natoa maji ya moto. Fasta nikamcheki mwamba mmoja ni gyno akanielekeza dawa mmoja hivi inauzwa 75,000 enzi hizo hio itasaidia kutibu. Hapo mm muoga wa hospitali, nikawahi fasta na kuanza dozi, aisee sijui ulikuwa ugonjwa gani ule, nilikuwa kila nikisikia kwenda chooni yaani napata mawazo juu ya maumivu maana ukifika unatoa mkojo kwa channel yaani kama kimwagilio. Uzuri dawa ilichukua kama siku 7 kupona. Kutoka hapo ikabidi nichukue mawazo magumu ya kuchukua full blood test na vipimo vingine. Aisee ilinichukua miezi kama 5 kula papuchi ingine, yaani nilikuwa kama ni nyege bora nichukue hatua mkononi.

Ila nilijifunza kitu, kwanza nilimpeleka manzi kwa gyno akamcheki atibiwe then nikampa kibuti. Kutoka hapo nikapewa kautaratibu na huyo mshikaji ambacho sio scientific proven but inasaidia. Ukila mbususu kavu na manzi, hakikisha baada ya game no matter what kimbia bafuni rinse mashine na running water, especially kwenye kichwa Alafu hakikisha Unavuta hisia mpaka UKOJOE( mkoja wa kawaida). Hii inasaidia sana. Pia kabla ya show, wakati unapima oil, jitahidi unuse aisee, kama Una experience kuna common smell ya papuchi, ukiona harufu sio aisee usiendelee, ukisikia shombo achana nayo hio. Pia avoid to rub your dick kwenye sijui clitoris yake pale wahuni mnaita sijui ndio katekero bora utumie vidole, pale unahamisha ma infection kibao. Ukishindwa tumia mpira ( japo sasa show na mpira mm naita Advanced masturbation hakuna kitu hapo)

Kwa kipindi cha ujana wangu nilikuwa nafanya hivyo imesaidia sana kuepuka na haya wa UTI. 60% or more ya mademu especially wa chuo wanaoka hostel wanaumwa haya ma UTI. Na ndugu yangu muulize daktari yoyote yule, antibiotics zinapunguza sana body immune system. Mnajipunguzia life span bure. Sasa wewe kama kila baada ya miezi 2 uko na masindano na madonge aisee tutakupoteza mapema.

Enjoy sex, it’s the most adventurous activity na inapunguza stress sana but do it with caution.
 
Chief hyo gari bila shaka ni ALPHARD
 
Asante kwa Elimu ya Bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…