Mbuzi inajipeleka kibrah.

Siku mbili tatu hivi sikuwa na MB na sikutaka kuunga, juzi kati hapa kuna jamaa kaniungia ofa za tigo GB1 kwa buku siku 3.

Ile nimewasha data naona pop-up sms Messenger nika drag na ku cancel. Badae nikazama kwenda messenger kucheki nakutana na dada sio rafiki yangu fb, kanipa hi na kiniomba namba, mzeee ikabidi nizame kwa profile yake kufanya ma preliminary investigation na feasibility study[emoji1] nikaona kama nampata vile alikuwa nyuma yangu madarasa 2 au 3 nyuma.

Ni pisi yakawaida, nikajibu salamu ,nikaacha namba pale.
Jumamosi kuna namba ngeni ikapiga, sikupokea nikaamua nimcheki hakupokea, baada ya muda akanicheki nikapokea story mbili tatu anaanza niuliza niko wapi, nafanya mishe gani as usual siwezi mwambia stranger ukweli ,who knows[emoji28] nikapiga noble lie pale niko sehem flan napiga mishe mishe tu sina jambo, ye akasema yuko jijini daslam sikutaka kujua anafanya nn mie sio mdau wa hayo. Tukaagana.

Juzi kanipigiaaa asubuhi, sikupokea, huwa sipendi kupigiwa simu asubuhi asubuhi unless ni close Friends au relatives, watanisamehe kwa hili. Nikavunga jioni nikamtext , mambo yule mpuuzi akanijibu PW nikaona hamna kaz hapa nikamuignore.

Jana asubuhi kanipigia, lawama kibao mbona hupokei simu zangu ,nikamuuliza ulipiga mara ngapi akasema moja,nikamuuliza inakuwaje unasema sipokei simu zako, nikamtell jana nlichelewa kuamka thus sikupokea ,akasema sawa.

Heee mara eeeh niambie, nikaona huyu mpuuz nimuambie nn yeye ndio amepiga nikamtell huku hakuna jipya, AKANIULIZA UMEOA nikamjibu hapana, wazee simu ikazima chaji wallah.

Nikaboost nikamtext ntakuchek mida saiv kuna kazi nafanya, jioni ikabidi nitimize ahadi asijeniona na madharau, nikamcheki hakunijibu nikaona poa nimenawa mikono ya lawama.

NB: Feedbacks nitaleta[emoji28]
 
Mkuu nitambue mchango wako kwenye huu Uzi wa Rickboy.....


Umesimulia kama William Shakespeare......πŸ€“πŸ€“πŸ€“
🀚
 
Hapa sasa wewe ndo uliliwa kimasihara
 
Tangaza kumtema, ukae kwa amani.
 
Ilinitokea. Mahusiano ya kwenye simu, kila kitu mnamaliza hadi majina ya watoto mtakaozaa.

Tukaonana mara ya kwanza, tukaagana fresh. Tumepata kazi mikoa jirani, yeye akapangwa chato.

Tukakubaliana aje nilipo, tayari nina geto langu, music upo, full gospel na ki tv cha movie na DVD au vcd choirs.

Akaja, nikampokea, akaoga, akapika, tukala. Tukalala. Naomba mali, akagoma. Nikatumia nguvu, akagoma, siku ya kwanza ikapita. Ya pili ikapita, ya tatu ikapita bila kunipa. Maumivu niliyoyapata, siwezi kueleza. Hapo nina zaidi ya miaka miwili sijagonga, mali imenikuta nyumbani, halafu inaninyima? Asikwambie mtu maumivu yake.

Nilichofanya, nilimsindikiza, alipotoa mguu kwangu, nikatafta mali nyingine, halafu anamfaham, na alipohoji kwa nini simtafuti, nikamwambia hunifai, ananifaa fulani, niko naye. Ongea naye, wakasalimiana.

Kilichofuata ni kuniomba msamaha. Akanishtaki kwa mama yake mdogo, nikajulishwa amezirai, nikaombwa basi nimsamehe, nikagoma. Mama yake akapanga safari aje na binti yake, nikaona Soo, nikaamua nitoe ushirikiano, maana ana siku kadhaa hata chakula hali. Nikaanza mbembeleza, akatoa sharti, kama nimemsamehe, basi nimruhusu arejee kwangu tumalizane, nikasema nitamfuata mimi.

Nikaenda kwake, nikakaa siku tatu nagonga tu, tukakutana tena mkoani kwao, nikagonga, ndo ilikuwa mara ya mwisho. Maana alijua kabisa sina mpango naye, natimiza ratiba. Miezi 9 ya uhusiano na yule wa pili, ikatuletea matokeo, mtoto.

Alivyojua, ametangaza uadui maisha yake yote, hata nikimsalimia hataki. Tangu 2011 hadi leo hajasamehe
 
Hii inategemea kama wewe ni legend. Mgeni kwenye mbususu ni adhabu kubwa sana
 
Mkuu wewe ni Mimi kabisa sema wengine kusimulia hatuwezi....all in all umetisha boss
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…