MKARASINGA
Senior Member
- Jun 9, 2018
- 149
- 239
Habari wana Jamvi [emoji119]
Tangu huu uzi uanzishwe nimekua msomaji na wala sjawahi kuchangia chochote huku japokua nishawahi kula mbususu nyingi za kimasihara.
Sasa niwape kimasihara yangu moja tu itawatosha [emoji23].
Miaka kadhaa imepita enzi hizo nlkua naishi mkoa wa Mwanza wilaya flan siwez itaja (code)
Siku moja iliingia siku kuangalia namba mpya, kupokea nasikia sauti ya kike raini ya kumtoa nyoka pangoni , baada ya salamu nkagunduka yule dada amekosea namba nkamwambia mimi si yule anaemdhania kuwa anampigia , dada yule aliomba samahani na simu ukakatwa. Baada ya masaa 3 yule dada alituma mesej akataka tufahamiane zaid , tukabadilishana code ( kufahamiana japo kwa juu juu).
Kwa alivonieleza yeye pia ni mkazi wa mkoa wa Mwanza wilayani nliyokua naishi mimi kulikua na umbali kutoka nnapoish mim kwenda anapoishi yeye kama km 30 .
Tulipanga appointment ya kukutana yeye ndie alikua na shauku zaidi ya kuniona , nami nlimkubalia siku moja nlkua off nkaamua kwenda huko alipokua anafanyia kazi , nlipofika kumjuza alikuja kunipokea, lahaulaaah [emoji39] she was so beautiful woman alikua amevalia nguo za nurse [emoji1794] means alkua muuguzi wa hospital fran ya eneo lile. Alinipeleka katika Restaurant fran akaniomba nimpe masaa kadhaa aende nyumbani kuchange nguo then arudi ili tuendelee na ratiba nyingne, nlimruhusu baanda ya lisaa 1 akawa amerudi amevaa amependeza sana, mpaka nlihisi kuwa ni jini ama ni mtu ametumwa kuniweka kwenye mtego.!?
Tulikaa tukala tukanywa tuliongea vitu vingi sana na kufahamiana juu, alichonieleza, yeye mtu wa zanzibar amesoma UDSM na kuajiliwa Mwanza , baada ya kuongea vitu vingi aliomba twende tukapumzike , tuliingia kwenye gari lake tuliekea kwenye hotel moja nzuri sana akachukua chumba tukaingia washroom tukaoga tukaingia kwa mkapa (kitandani) nilikula mbususu flani inabana inanukia vzuri, mpaka sasa siamini kama kweli yule alikua ni binadamu wa kawaida au jini, maana alikua ananukia vizuri na alikua anayajua mahaba mpaka basi, naomba kusema kwamba tangu nizaliwe sijawahi kutana na mwanamke mtamu mwenye penzi moto moto zaidi ya yule mwanamke, .
Kesho yake asubuhi tuliamka tukajiandaa kuondoka yule mwanamke alinipeleka mpaka eneo tulilokutana na kunipatia kiasi cha 100k (laki moja ya kitanzania) na bills zote tulizokua tukitumia alikua akilipa yeye.
Baada ya kunifikisha pale na kunipatia pesa ile alihakikisha mpaka napanda gari abiria na kuondoka. Nlipofika Getto nkajaribu kumpigia ili kumpa taarifa kuwa nimefika sana, namba yake haikuwa inapatikana tena, nlijaribu kuwa naipigia kila siku haikuwa inapatikana , na nliwahi kwenda kumtafta hospital aliyokua akifanya kazi skumpata.
Baada ya sku mambo yangu yalizidi kunyooka zaidi na zaidi, kuna maombi nlikua nmetuma kwenye company frani mkoa wa Geita yalikubaliwa kwa malipo mazuri na posho nzuri sana, nlihisi kama yule mwanamke alikuja kwaajiri ya kunifungulia mlango wa mafanikio yangu.
Mpaka sasa sijawahi pata jibu kama yule mwanamke alikua ni jini ama binadamu..?
Hapo ndo mwisho wa simulizi yangu ya ukweli ya kimasihara kwenye maisha yangu.
NAJUA KUNA WATU WATAKUJA NA USHAURI KUHUSU KUPIMA AFYA, KWA UPANDE WA AFYA NILISHAPIMA MAJIBU YAKATOKA NIKO SALAMA .
Mimi sipendagi chai bila mandazi
Next time ukipika chai ulete na maandazi