Daaah nimeshindwa cha kukomenti broo, sijui hata nikusifie au nifanyaje. Yaan ikiwa we mwenyewe huwezi kujilaumu wala kujipongeza juu ya hilo.
Kuna time inakua ngumu kuamua i wish ungeendelea nae, lkn ni mke wa mtu utapoteza future yako. Mtoto ni damu yako ungeweza kumdai na kisheria ungempata, lkn ukifikiria zaidi either uharibu maisha yake, maisha yako au ya mtoto, au familia yako na yake zote ziharibike mara 1.
Kumuacha mtoto ni uamuzi mzuri, na mm ningeshauri umuachie tu, lkn natamani kama ungeweka ukaribu kidogo na mtoto aanze kukufahamu. Akiwa mtu mzima anaweza kuambiwa kua wewe ndo baba yake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] iyo ni experience ya maisha yangu,Cha kunishauri huna wewe Kwa akili Yako mgando hiyo,maji ushakunywa lkn???tuliza temper
 
Unakuja na ID mbilimbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kima wewe ndio fk21 naona upo sirias teteteeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahaha uyo niachie mm anajifanya kuparamia nyuzi za wanaume na kuzichafua wakati mama akipata wasaa anaangalia jukwaa lake pendwa,,,mi sijaomba ushauri akumbuke ilo
 
Acha alete story mzee, we don't judge in here. Siku yakimkuta, atadeal nayo mwenyewe. Marinda yaliyoko hatarini, ni ya kwake peke. Sisi atuletee sory!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yeap sisi tunataka tuenjoy akishikwa atamalizana na mwenye Mali zake
 
😳😲 Watu mnafaidi sio poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…