Mbona mimi sijawahi kuwa na mtu wa "kila nikimtafuta anakuwa tayari"...nina gundu au kitu gani.
Ninao watano, mmoja kigamboni, wa pili kimara, watatu sinza, wa nne tabata, na wa tano mbez beach salasala yan hapa sijawachek miezi mitatu(lakini naview status zao whatsapp) ila nikigusa tu namba zao imo, yan hawa mademu ndio huwa nipo loyal kwao wakinipiga mizinga yan natumaga fasta bila hata maneno mengi... Nawaheshimu sana
 
Ni pisi kali mkuu πŸ˜’πŸ€”
Au ni amina ndala ndefu 🀣🀣🀣
 
Ni pisi kali mkuu πŸ˜’πŸ€”
Au ni amina ndala ndefu 🀣🀣🀣
Tungekuwa tunaruhusiwa kuweka picha hapa tungeleta tafrani ni pisi ambazo ukiweka status whatsapp views za wanawake ulowaacha yan baada ya lisaa zinafika hata themanini, si nlishasema hakuna sababu ya kuwa na mwanamke mbaya daslama sababu wanawake wazuri ni wengi na wapo loose sana...wanawake wazuri kuna namna ya wanaume huwa wanawapenda ndio sisi mazingira yetu tuliojitengenezea, mfano huyu wa kigamboni mwaka jana nlichoma nae mayfair plaza mikochen ndani tukakutana na babu tale lijamaa lilimtolea macho manake toto limeenda hewan kuliko mimi alafu tako lakushato, chuchu mchongoma.. Sichukuag me kina mwajuma ndalandefu sishindi mazingira yao mimi....
 
Kongole mkuuu πŸ˜‚ 😢.
 
Kongole mkuuu πŸ˜‚ 😢.
Bro wanawake sio wakuwazingatia sana tutafute hela ndio mwisho wa matatizo... Ukiwa na hela daslama utang'oa hadi ushangae... Nikiwa sina kitu hata mizunguko napunguza sababu naona ntapata mfadhaiko tu ntashindwa hata kumsemesha mtoto mzuri, najifungia tu nafanya kuchek movies na mambo mengine ya msingi....
 
Sawasawa
 
Khanga ya chama cha siasa mwaka huu?? Hii ni kahawa
 
Ukiwa presenter hasa huko mikoani ni rahisi sana kuwala. Safi sana comrade.
 
Aisee hiyo sio kimasihara, demu kila muhun anajipgia kibendi tu [emoji23]
 
Nifanyie namm mpango nipate mtoto mkali
 
Nifanyie namm mpango nipate mtoto mkali
Mkuu tafuta hela tu, kama hauna pesa usijihusishe na wanawake wakimbie kabisa watakuzingua utapata msongo wa mawazo, wanawake huwa wanataka assurance ya mtu atakaeweza kumsaidia kwa lolote kama huwez kumsaidia kwa chochote utabaki kuwa kakake tu miaka nenda miaka rudi, women define you on who you are, what you do na how much you make, hapo ndio ye mwenyewe huwa anajikadiria kwamba huyu hata akinitongoza namkubalia, mwanamke hamvulii chupi mtu yeyote yule mzee lazima kuwe na kitu amekiona hata kama sio leo in the near future kitatokea ambacho kitamfaidisha kwa namna yeyote ile. Maelezo mengi ila PESA ndio mpango mzima.
 

Tawile, umepita na vesi kuwa na madem bila pesa ni kujiongezea msomgo wa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…