Nimetoka kuongea nae sasa anasema alifurahi sana. Na soon atakuja town tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] piga papuchii hiyooo hadi akikuwaza iwe inatepeta km mlenda ulo ungua.

Woiiiiiiih
 
Kila idara mkuu gym, kula vizuri, kuvaa vizuri, kulala pazuri hata iwe one bedroom.

Sio unapigwa vumbi kama unalima viazi itigi.....
Ahahahahaha
Uwe na mwili mwili fulani hivi...umevimba vimba hata ukimshtua manzi anaanza kuwaza how do you look like while naked[emoji3][emoji3][emoji3]
Atamani
Basi sawa ngoja tuanze kula kula na gym kama zote
 
Ulikuwa mtangazaji wa EBONY FM
 
Sema we jamaa umeanza kunifanya mpaka niwe na hofu na shemeji yako akisema anaenda hospital *****[emoji3]...

Kuna visa ukivipitia unaona kabisa dem wangu hatoboi kwa hawa majangili ya mapenz[emoji23]
Majangili [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huu uzi nimeanza kuupa heshima ya pekee sana.
Leo mchana nimekaa room napitia Kimasihara za wakubwa humu, nikapata mzuka wa hatar, nikamuita wife chumban nikachapa kimoja.
Asanten sana kwa uzi huu.
N.B
Ukisoma uzi huu unaweza kusaidia kuamsha vilivyo lala
 
Kwahiyo wife humuiti mpaka upate back up humu za kihisia,wahi hospital ndugu[emoji1787][emoji1787] ni namna gani mmewachoka wake zenu[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…