Mkuu hii umeicopy sehemu Kuna Uzi uliwekwa humu maudhui ni haya haya sio poa kabisa.
 
Umecopy na kupaste ya cutelove
 
Wabunge na mawaziri.
 
 
Wapenzi zangu wote ni kina mama ibada

hiyo namba 9 wakijaga eti naomba ruhuthaaaaaa huku kanibania pua

keythooo kuna mkeithaaa kanithaniiii,yani nawambiaga kama ni mkesha

Baki humu ndani mimi leo silali tuimbe wote tuabudu ila haendi popote nasema.

Hao mabaharia wa namba 9 ni hatari sana nawaelewa kabisa,picha linaanziaga pale

Mtumbuizaji akisema "mkumbatie jirani yako bega" haya twende left right left right aaaah weeeee hAPANA NOOOO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…