[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]legend
 
[emoji3] wakipita huku watajua Hahaha
 

Hawa mademu zako ndio maana wengi wao unawala, ukiangalia uandishi wao tu unajua ni mademu wa aina gani.
 
Nipo kijijini kidogo kuona wazee.. naenda mtaani naonana na ndugu, jamaa na marafiki wa kipindi nakulia huku. Ninatabia ya kuja kusalimia atleast mara 1 kwa miaka miwili. Asilimia kubwa hukuta sura mpya maana vijana wanazidi kukua tu.
Nikaonana na jamaa yangu mmoja ana cheo fulani cha kiheshima na alikuwa na viongozi wenzake.
Kati ya hao viongozi mmoja alikuwa mwanamke ambaye ndio boss wa kata huku nilipo na bado mbichi kiasi age kwenye 26 hivi sura nzuri kiasi chake na ni mgeni naambiwa ndio ana miezi miwili tu. Natambulishwa na jamaa yangu na pale nikaombwa namba ya simu na wote wakaichukua. Maisha yakaendelea story za hapa na pale nikaondoka.
Jana napigiwa simu kupokea naulizwa umeondoka nikasema hapana. Wakati huo sijajua nani akaniambia mie kata tulionana juzi ohhh.
Basi akaniambia kama hujaondoka naomba kesho (leo) tuonane. Namuuliza wapi na saa ngapi. Akaniambia nyumbani kwangu na usiku kuanzia saa 2 nadhani ndio muda mzuri. Nikamwambia poa.
Nauliza jamaa fulani hivi bos wa kata ya hapa ameolewa naambiwa hana mume..

Nipo nawaza kuna Masihara inakuja hapa maana hatujaongea lolote.
 
Kamle tu huyo
 
Umenunua Magonjwa beri rahisi san mkuu wala hujapata hasara sana elf 10 tu
 
Yaani hizi msg kaka hutakiwi hata kujisifia kwa sababu msg tu zinaonyesha ni wanawake wa aina gani unao deal nao. Mi ni mwanaume mwenzako ila kuna muda naona aibu mimi, hasa hao wake za watu sioni kama unawafanyia fair
 

Unatoka na wanawake wa kawaida mno
 
Tafuta vipimo chap sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…