Mkuu hii tumaita umemagwa na demu tena kavukavu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hivi kula Malaya nayo ni masihara
 
Hizi ndo kimasikhara sasa,sio mtu anatongoza anaambiwa hadi akachukue room alaaf anajitangaza kimaskhara
 
Kuna mji nlihamia toka daslamu, siku moja mida mibovu nimetoka kiwanja narudi mdogo mdogo huku namalizia chupa yangu ya martel nkamuona binti anatokea eneo flani anakuja barabarani. Nikamkosakosa kumgonga kisha nkasimama mbele kidogo na kumrudia. Binti mbona unataka kunisababishia matatizo? Kajibu kaka nisamehe nimevurugwa. Nini shida? Ooh boyfriend wangu kanizingua hapa hata sijielewi. Ikabidi ni act gentlemen nkamwambia haya sema nkupeleke wapi. Akanielekeza. Nkampeleka mpaka maeneo ya kwao akaniambia niishie sehem ile asijeonekana na mtu wake ikawa balaa. Ila akaomba anishukuru kwa wema eti nlomtendea, sasa hata ungekuwa wewe ungesemaje? Nkaamua kukubaliana nae japo najuta mpaka leo napigiwa pigiwa na namba tofauti tofauti. Kila nkiblock next time anapiga na ingine.
 
Osssshey
 
Safi mwamba, ila huyo wa mwisho kanifanya nicheke sana alivyokujibu kuwa katombane nao.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simu alishika mtoto bahati mbayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…