Dogo umepiga MUHAS sio
 
Aah dadeq[emoji23]
 

Kwa hapa, kweli unawajulia wanawake....
 
kumamamakeeee wewe ni hatariii
 
Kwa rafudhi uliyotumia wewe ni Mhaya og. Example "anaziwapa" hii ni lahaja ya uhayani
 
The way wadada wananiheshimu halafu niwaambie maneno kama njoo nikut***mb nahisi matusi nitakayooga siyo ya nchi hii, nimeshindwa kabisa kula kimasihara tunaitana kaka na dada2
Yes wamekufriend zone ,hutokaa uwale hata siku moja [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…