Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Leo nimekula kwakweli. Jumatatu hii natoka zangu Sinza naelekea Goba kupitia Makongo Juu nimefika pale kona ya kwanza baada ya Daraja pale Ardhi University kuna warembo wawili walikuwa wamesimama (niliwafikiria nikawaza hawa wanataka kuvuka labda) walivyoona nawangalia mmoja akasema lift. Basi nikasimama wakaja nikawauliza wapi wakasema Goba. Nikawachukua huku napiga nao story za kufahamiana. Mmoja anaitwa L na mwingine S na hizo ni initials zao. Tumefika sehemu ya kushuka wao wakaomba washuke basi nikasimamisha kigari changu wakashuka. Ile wanasema asante nikawambia hata namba hatupeani. Wakacheka kidogo yule L akasema nitajie nitakutafuta basi nika mtajia akaandika. Hakunitafuta siku hiyo nikasema imetoka hiyo.
Leo natoka job jioni napigiwa simu akajitambumisha mie L siku ile umetupa lift. Nikamuuliza upo wapi akasema nipo home. Nikamuomba tuonane akakubali. Nikawaza kimasihara inakuja hapa nikaenda chimbo moja Goba limekaa kimtego sana karibu na njia panda ya Kinzudi. Hilo chimbo linaroom kali sana na kuna Grocery ndani yake. Baada ya kufika nilipomuelekeza aje nikamwambia twende sehemu fulani akakubali japo alikuwa hapajui. Kufika pale akastuka mbona ni lodge nikamwambia usiji kuna Grocery. Kufika akaagiza Savana yake nami Bavaria tu. Piga story huku anaongeza tu mdogomdogo. Baadae nikawa kama namshikashika mapaja. Akawa analainika mdogomdogo.
Kwa ufupi nilichukua room nikapiga 2 safi.
Safi Sana kamanda huu mwaka Ni kula mizigo tu
 
Hahahah story za sake za watu sio z kuleta huku,,pale kinzud ukiingia kushoto kama umetokea mbezi mbele kule kuna uwanja flani n noma sana,,sema sio kimskhara sasa
Napaelewa kama unaenda ofisi ya Kata. Kiwanja kile noma sana.
 
Safi Sana kamanda huu mwaka Ni kula mizigo tu
Na leo asubuhi mmoja nimempa lift na tumepeana namba . Toto moja la Kimbulu hatari sana. Nikamuuliza mwisho kupiga saa ngapi (hili swali nalipenda sana maana limekaa kimtego sana).

Demu akaniambia muda wowote mie sina mtu . Nikamuuliza kwahiyo nakaribishwa akasema karibu sana .

Kazi kwangu sasa. Mademu asubuhi au jioni wakati wakwenda kazini au kurudi home hutia huruma sana ukipita na gari wanakuangalia kwa huruma sana.
 
Na leo asubuhi mmoja nimempa lift na tumepeana namba . Toto moja la Kimbulu hatari sana. Nikamuuliza mwisho kupiga saa ngapi (hili swali nalipenda sana maana limekaa kimtego sana). Demu akaniambia muda wowote mie sina mtu . Nikamuuliza kwahiyo nakaribishwa akasema karibu sana .
Kazi kwangu sasa. Mademu asubuhi au jioni wakati wakwenda kazini au kurudi home hutia huruma sana ukipita na gari wanakuangalia kwa huruma sana.
Mkule mkuu ulete mrejesho maana ndinga ni uchawi tosha kwa watoto hao.
 
Back
Top Bottom