Mbona ni kawaida yao tu kama zawadi ya malipo ya kumfanikishia jambo
 
Mademu wenye njaa raha sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu, kumtia mke wa mtu tena nyumbani kwake ni hatari kama kuramba asali Kwa ncha ya kisu! Imagine hapo Kuna hidden camera!! Chunga Sana Marinda!

[emoji16][emoji16] hakuna kitu nazingatia kama kufanya shoo kwenye mazingira ya mwanamke.kuna wahuni walishawahi kutoa hii tahadhari kitambo sana tuepuke hilo
 
Jinsia gani wewe??
 
Vip majibu bado ndugu ?
 
Hiiiiii,wadada inakuwaje hii??

Maisha ni magumu sana??

Kama vipi rudi kijijini kwenu kuliko kujifedhehesha kisa buku ya maji.
 
Aisee ulikuwa umevurugwa kweli.


Ngoja tunywe tu japo haina sukari.
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…