Huwezi ukawa mkaanga chips kwa mwandiko huu.

Kifupi umetupia kamba hapa.
 
Kweli kulinda malaya awe Mwanamke au Mwanaume ni kazi sana.

Ukitaka usioe au kuolewa na malaya ndiyo angalau utabahatika kwenye ulinzi wako
 
Hivi hawa watu wanaokosea namba wana shida gani, mtu ushamwambia namba umekosea..anaanza kuleta mambo mengine, ukimkaza atalaumu kweli?

Ukurasa nishaufunga mkuu, Mdada Alikuwa bomba sana.

Ni kutumia tu Mkuu, ukizembea utaambiwa Unaringa kumbe Waala
 
Kauli ya kuingilia December.....

Kumla kimasihara mwanamke haimaanishi yeye ni mrahisi... mwanamke uliyemkula kuna wadau wanamfukuzia karibu mwaka na hawajaambulia kitu.... so tuwaheshimu sana wanawake wanaotutunuku na kamwe tusiwatumie kama kigezo cha kusema wanawake ni warahisi........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…