Umemwambia Mama ako kilichikutokea?
 
Waambie wazee wajinga wajinga..mimi kuna sehemu nilikuwa napenda kukatiza ni mtaa flani uko uswahilini ila ukiwa unapita unakatiza katikati ya nyumba kadhaa..mtaa ule ulikuwa na wanawake wengi wanapenda vibarazani, wale wanawake nilikuwa nikipita wanakaa wamenitizama na muda huo unakuta waume zao wapo pembeni eti JAMAA WALIOGANAIZI KUWEKA FENSI 😂😂😂😂😂
 
Hujatafuna ata moja
 
Kamanda zero, biashara yako Ina ulimbo ambao unaweza ukamnasa mwanamke au msichana yeyote, maana Hawa ubavu wetu kwa chips,tangu wakiwa wadogo ni hatari.

La msingi, na la sekondari, na chuo kikuu na la chekechea ni kwamba, usile kila Dem, wengine achana nao, usije ukafutika kwenye orodha ya watu duniani kabla ya wakati wako, Ila pisi ikiwa Kali, classic, PELEKA MOTTO Tu.
 
Asante mkuu mwa ushauri wako adhimu kabisa
 
Yaani upoteze muda kumlinda mtu si kujitaftia presha za kijinga kabisa.

Huenda sio wewe tu, bodaboda anaowatumia labda washamuonja mara kibao. Na wewe pia umechovya bila kinga. Pole sana
 
ase mama wawili wakunifanyia hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…