repost

tukio hili nitakalolisimulia hapa halijatokea siku nyingi, ni wiki mbili tu zilizopita.

kwa kawaida mimi ni mtu wa kusafiri sana kikazi na kwa safari zangu binafsi.

napenda kusafiri na ninashukuru kufanya kazi ktk field inayonifanya niwe nasafiri mara kwa mara. ukipitia baadhi ya post zangu,utabaini hilo.

nimeambatanisha screenshot inayoonyesha timeline yangu ya mikoa ambayo nimefika mpaka sasa tanzania hii. kwa sasa nipo mkoa wa pwani.

wiki mbili zilizopita nilikuwa mkoa X kikazi.

niliwasili ktk mkoa ule mida ya jioni. nikaelekea moja kwa moja ktk hotel ambayo tayari nilishafanya booking.

ilikuwa ni hotel ya ghorofa saba, chumba changu kilikuwa floor ya pili. nikiwa napanda ngazi kuelekea room kwangu, kwenye corridor nikakutana na mdada mmoja mrefu wa kimo halafu black beauty flani, mzaliwa wa kaskazini mwa tz.

wakati mimi napanda ngazi kwenda juu, yeye alikuwa anashuka.

alikuwa kavaa jinsi tight ya dark blue na sweta rangi ya kijivu.

alivaa sweta kutokana na hali ya ubaridi ya mkoa ule hususani miezi hii ya sita kuelekea wa saba.

halafu alikuwa ananukia manukato mazuri sana ya kike. mimi ni mlevu wa manukato, pia navutiwa sana na wadada wanaonukia manukato mazuri.

wakati tunapishana pale kwenye ngazi, nikamuwahi kwa salamu, halafu nikamuomba samahani ili asimame kidogo tufahamiane.

baada ya maongezi mafupi ya kufahamiana nikamuomba namba ya simu na yeye nikampa ya kwangu.

ndani ya nusu saa nikamcheki. tukapiga story kadhaa kwenye simu, nikamueleza kizi yangu na kilichonileta ndani ya mji ule.

yeye akaniambia ni nimuajiriwa wa wizara X ktk kitengo kinachohusika na masuala ya auditing. akaniambia amekuja ktk mji ule kikazi kwa mda wa wiki mbili.

ilikuwa ni mida ya saa mbili usiku, mdada alionyesha kunikubali sana kupitia maongezi yetu kwenye simu.

akanimbia yupo alone room kwake floor ya nne anacheki movie,nikamwambia kama vp shuka njoo floor ya chini kwenye lounge ya ile hotel.

akaja, akanikuta mzee mzima nipo counter nagonga zangu windhoek mdogo mdogo.

na yeye nikamnunulia heineken nne, baadaye wote tukawa tumechangamka kwa kilevi huku tukipiga story za hapa na pale.

akaniambia nimsindikize room kwake akamalizie kuangalia movie. kimoyo moyo nikasema huyu tayari ny*g* zishampanda. acha niende nikampelekee moto.

nilichowaza ndicho kilichotokea, alikuwa kalegea sana.....nikambandua room kwake siku ileile kimasihara tu.

nililalanae mpaka asubuhi. room kwangu nilirudi saa tatu asubuhi. kile chumba kililala empty.

tukawa tunaendelea kubanduana kwa siku zote zilizokaa pale hotelini. mpaka sasa bado tunawasiliana.

NB: kiumri nacheza kwenye early 40s.wakati fulani niliwahi kuandika uzi uliokuwa unazungumzia idadi ya wanawake niliowahi kutoka nao kimapenzi mpaka sasa, ambapo kwa idadi ni zaidi ya wanawake 100. ule uzi ulivuta hisia za wana JF wengi na ulikuwa una trend kwa kasi sana.

moderators kwa wivu au kwasababu wanazozijua wao, wakaamua kuufuta.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

timeline yangu hii hapa. hii inaonyesha baadhi tu ya sehemu nilizowahi kufika ndani ya tz hii. ila almost hakuna mkoa ambao sijafika.

have a good weekend guys.
 
wachache sana hiyo nilijua average ya mwaka ambapo kila mwezi lets say wanawake 3-4.

miaka early 40s wanawake 100 tu?kuna miaka ulikuwa unapiga master au?
 
[emoji16][emoji16]
 
R.I.P
 
Huwa nawaambia watu, achaneni na walioolewa, kuna wanaume ukimkazia mke wake anaweka kisasi na wewe maisha yake yote, anaweza kuidhalilisha nafsi yako au kukuua kabisa. Singles wamejaa mbona!!
 
Amepata alichostahili...

Kaa mbali na wake za watu
 
Huku ndiko kufa kiume
 
[emoji28][emoji28]
 
Ni kawaida mzee wao ndo wanahisi sana michubuko sisi mara nyingi huwa hatujijui
 
Hii si uongo ni story ya kweli , miaka nane imepita kipindi naish zangu knyama .. mtaa niliokuwa na kaa kulikuwa na kigenge kimoja alikua anauza mdada mmoja wale watu wanawaita andunje au watu wa fupi ... oyaaa mtoto alikua kafungasha balaa sasa mara ya kwa

Kwanza naongea nae nikamtania "aaah mchumbaaaa " akajibu we mtoto sana kazi huiwezi wewe ebu sema nikuudumie nini uende " nikacheka sana nikamwambia " ebu nipe namba yako ya simu ntakupigia ... kama zali akaandika .. hahaha basi nikawa nawaza nipige nisipige , baadae nikamwona kwa mbali kama anakuja unakuja upande napo ishi ilikua usiku , nikampigia nikamuulisha " ushafunga ofisi nikupe show ..

" kama zali akaitikia nipo njiani naondoka sema upo wapi nije .." hii oya ingekuwa wewe ungefanyaje .. aaah nikamwambia " angalia mbele " huju nanyoosha simu kwa juu anione , akaja hadi pale nikampitisha mlango wa uwani akazama hadi.getto .. oyaaa wazee nilipiga show .. kesho akarudi tena .. ikaenda wiki nzima .. baadae baba mwenye nyumba akanipa notice eti naingiza watu wa ajabu kwenye nyumba yake .. na hapo ndo nilipoama siku ktafuta tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…