Mzee wetu JBourne59 yuko na jambo lake huku. Hanaga simulizi mbovu. Fanyeni kupitia hapo!

 
Iyoo ipo kunasehemu unaona kabsa umeyakanyaga na inabidi uombe powoo muaze maisha ya kaka na dada.

Kuna mwaka nilijikanyaga kwa rafiki wa dada, alikuwa kma family friend sasa na yeye nilimraumu sna maana tumaitana baa amekuja na amenikuta namwagilia moyo,namuambia tuamishe Kambi hapa macho ya watu twende vyumbani anakubali, tuko room toa assit tuweke kagomaa, nikataka kutumia nguvu akaniletea Mambo ya majini kapandisha nikaona basi siyo kesi, ila ela yangu ya room iliniuma Sana, nikamrudisha kwao midaa mibovu nikawa naomba powaaa asije msimulia dada, akawaka kinoma kwamba nisitudie Tena ujinga Kama ule.

Alininyima amani ya moyo kwa kipindi kile, nashanga siku ya tatu usiku inakuja sms mara vipi umelala bro? Mimi ndio na hii baridi uko mwenyewe tu ndio, Maswali kma yote nikampotezea sikujibu mpka usingizi unanikuta, imepita Kama wiki hivi naona ujumbe nakuja kwako mara moja kunashida binafsi, nikakaribisha kuja pale Mimi nizamu Kama yote kwake.

Tuko sebureni hapo nakuskiza dada, naona ameinuka kaenda kwenye kabati kulikuwa na wine ya dopo nimekunywaa kidogo tuu, naona anachukuwa ndoo ya chooni anamiminia, anachukuwa sigara kwenye meza anavunjavunja, kiukweli nilikuwa nampenda Sana nikawa namuangaria tuu, kusemea Nini mtoto kachanga upemba kwa mama na ukilwa kwa baba kwaiyo kana rangi na Mimi ndio homa yangu.

Nimetulia tuu namuangaria akaja nilipokaa akanikamata mkono mpka chumbani kwangu naona nakalishwa kitandani nakuambiwa nijitaidi nisimwagia ndani, wewe wachaa kabsa, ila kiukweli Mimi niliamua kabsa kumueshimu Kama dada kwa siku Ile alivyonyesha msimamo na hata wakti naomba radhi nilijutia kabsa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Labda km ni hivo lakini kama nahisi Kuna kma kaconfidence kanapotea Kwa mwanamke sio rahis Yan 2 hours uende Kwa mwingine na utulivu uwe nao

Ni raisi sana nishamwambia ata mkuu apo juu ukianza na macho tuu utajua kilakitu ukiacha mbari vingine.
 
Mkuu hata wewe hujui kweli!!! Kukusaidia anza na macho yake(ukijua kuyatumia hayadanganyi), nywere zake harufu and vingine zaidi ni siri za kambi.
Tunataka viashiria kwenye mbususu yenyewe bwana wewe, yaani nikiitizama mbususu itafanana vipi
 
Tunataka viashiria kwenye mbususu yenyewe bwana wewe, yaani nikiitizama mbususu itafanana vipi

Siwezi kisema hapa mkuu, sio staha kuchambua kiungo cha uzazi cha mwanamke hadharani ila nirahisi tuu kama we ni mtu mzima unajua hata kama alioga baada ya tendo tena kwa mke ndo kabisa labda kama ni mchepuko na iwe firsttime.
 
Wanawake dhaifu Sana,kwa hyo alikaa akaona alud kwako.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja niende huko
 
Marudio ikawaje mzee
 
Hili kosaq husirudie tena... wanawake hawako hivyoo...

Yani wewe komaaa naye, jitahidi hata usike mbunye ... next time hana jipya ya kukunyimaa....
 

daaaa manna [emoji16][emoji16]
 
Nawe ulikua unashuhudia tu huo upuuzi bila kuchukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…