Nikavaa ndomu nikazamisha mboooo Ndani dumbwiiiii, nikautoa njeee,nikazamisha Tena Ndani dubwiiiiii ( jamaani rahaa sio rahaa? CCM oyeee)
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ndio bongo unaumwa mkono unafanyiwa masaji mguu
Janga la shule za kata ndio zao lake...mtu anasahahau hata nini aliandika paragraphy ya kwanza[emoji23]
 
Ki masikhara katika interview JKCI [emoji95]

Baadae nitaleta kisa cha mtoto wa kirangi tuliye kutana kwenye usaili JKCI siku ya jana ulio fanyika DUCE.

amehamia kuja hapa lodge nilipofikia tayari. Ni mwendo wa kujipigia tu
 
Naweka nukta
 
Kudadek......
 
,
 
Huwez jua
 
Hawa watu inabid washughulikiwe
 
Nakuhakikishiaaa mwandishii ww n mjumbe wa TRAB & TRAT
 
Ndugu yangu Beemind;

Nakubaliana na wewe kuwa na email haikuwa common miaka hiyo.
Binafsi internet nimeanza kutumia mwaka 2001; kwa maeneo niliyokuwa ninaishi internet cafe ilikuwa pale mtaa wa Kipata nyuma ya Keys Hotel na mara chache nilikuwa nikienda internet cafe fulani mtaa wa Pamba pale karibu na Luther House Posta. Wakati huo tulikuwa tunatumia sana Yahoo Messenger and MSN messenger kwa watu wa Hotmail.

Pamoja na yote hayo, wapo ambao walikuwa wanatumia internet japo walikuwa wachache.
 
Baadae nitaleta jinsi nilivyomla kimasihara mama yangu ( an age-old woman).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…