Dah, huu mkoa una vijana wa hovyo Sana...ww na huyo bidada wote ni sheeeda. By the way kijana. Si Kuna Uzi ule wa Rick boy ,,kaandike Kule watu tuzd kufaidi tukiwa tunasubiria sensa ifike[emoji6]
 
Haaa we jamaa sijui mtu wa Aina Jana wakiume Leo wakike[emoji23][emoji23]
 
Na wewe lazima nikukule kimasihara, just one night stand, halafu uje usimulie kwa undani sana kwenye uzi wako
 
Dah, huu mkoa una vijana wa hovyo Sana...ww na huyo bidada wote ni sheeeda. By the way kijana. Si Kuna Uzi ule wa Rick boy ,,kaandike Kule watu tuzd kufaidi tukiwa tunasubiria sensa ifike[emoji6]
Wazo zuri
 
Nchi hii imekumbwa na vijana wa hovyo, sijui ndiyo product ya shule za kata?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzee nsamehe sana naomba msaada wako, ukitoka moroco unaenda njiapanda kkoo hicho n kituo gan??na manzese n ipi hyo??
 
cocastic umetajwa hukuu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…