Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Husomi vzr mkuu,mimba nyingi tu,kuna dogo hapo juu alimla mwalimu wake akampa na mimba ssa hivi ana mtoto wake
Vitu vingine wawaulize wazee wa mtaa humu wengi wamepewa mimba na wengi wamewapa watu mimba na wapo bahazi waliwahi ambukizwa magonjwa ya zinaa na waka move on . Huu uzi umenikuza kifikra na kuacha kuchukulia vitu kwa kukurupuka haswa sisi tulio kulia makanisani tunawekeza zaidi kuishi mbinguni na tunasahau kuwa kwa sasa tunaishi duniani na lazima tuwe na amani na tupendane kama tunavyopenda nafsi zetu. Kinacho mtoka mtu ndio kinacho mtia unajisi kifupi jifunze kwa mitaa miwili ya kwanini na ili iwaje wakuu toeni hivyo vimasihara maana vinapunguza mizigo moyoni itue hapa uwe huru pana vitu vingine usiposema vitakuhukumu maisha yako yote.
 
Hbr ya nane nane wadau wa jf:-?


Ungana nami sasa juma mosi saa 9 mchana
Juzi kuamkia Jana natoka zangu KAWE BEACH [emoji905], nakuja zangu temeke nimepanda daladala tu, sina hili wala lile gari yetu imefika pale msasani mall (shoppers plaza ikazngua tairi la nyuma.

Ikabd dereva na konda watufahamishie kwa hilo na watupatie gari ingine gafla
Akapanda mdada ambae akuwepo awali
Akapata siti ya nyuma kabsaa, gari ikaanza safari kutokana na miundo mbinu

Siti za nyuma zikawa zinamkera sana ikabd ahamie siti ya mbele kidogo akakutana na
Na mimi kijana, mpole asiye na makuu
Nikatoa salamu, nikapiga kimya
Akaitika safari iyooooo tupo moroko hotel magomeni tunaitafuta mataa (junction)

Njia panda ya kkoo, manzese na kigogo
Gafla simu yake ikaitika nikatega sikio kujua content ya mazungumzo yao
Yalihusu birthday ambayo inafanyika TANDIKA Foma pale msizwa lounge
Kwa yule jamaa muuza ngada aliyekuwa
Anamla na kumuoa dada ake Diamond
Yani Asma platinum

Point ya maongezi ni kwamba ashuke tandika foma waka meet hapo kwa ajili ya event hyo
Baada ya maongezi kidume Nikadakia
Maongezi kwa kuwa mitaa hyo mm ndo
Naishi yani kontawa

Baada ya safari ndefu kutoka wilaya ya kinondoni hadi temeke tukafika tandika
Saa 11 jioni wakat story zetu zimenoga mm na yeye tukashuka bahati mbaya yeye apajui mswiza lounge kweny tukio patamu
Hapo,


Mtoto yuko vzuri mkazi wa kigamboni
Alafu amekuja likizo tu Dar, nikamuonba anisubiri nimpe ramani ya kufika hapo
Nikazama kwa wakala kutoka balance kama ya 10K tu ya kuzugia, nikanunua kuku nusu, safari ikaanza nikamchokoza tu mm
Nimefika kwangu, lkn nakuonea huruma sna

Akastuka huruma ya nini tena?
Nikajib unaenda kwenye birthday hv hv umetoka mbali hauna zawadi basi pita kwangu angalau uoge chap then uwe na nguvu maana najua haiwez kuisha muda huu
Akacheka then akajifikiria sana nikaona
Kuna possibility ya kukataa mchongo
Qkat yupo kweny fikra nikatupa dini lingne je? Una zawadi yyte kwa mwenzio?

Akajibu hpn, Nikadakia kuna kijora pale home nilinunua kwa ajili ya bi mkubwa
Nakupa ww then atapata kingne
Chap akakubali tukazama getto kabla ajakaa nikawasha TV nikamwambia
Kaa kwanza wakt nakuandalia maji na Kile
Kijora....


... Muendelezoo..
 
Bujibuji Simba Nyamaume
Bujibuji mafuriko
images (7).png
 
Back
Top Bottom