[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]baba waache tu#FreeRikiboy
#JusticeForRikiboy
Naona umekutana na mbabe wako anaejua kama wewe ni bilionea au mgonga debe Smu200Hata wewe ?
Siwezi ku apologise kabisa over my dead body, ni apologise kuwaelimisha madogo wasifanye ngono zembe tena wengine na wazazi na ndugu wenu? na zaidi ninaacha kwa heshima ya watu wako wawili uliowapenda sana kwa dhati ambao hawako duniani kwa sasa, kwa heshima ya hao watu naacha kucomment kwenye huu uzi.
Kakimbia mabilioni yameshindwa kumuokoaNaona umekutana na mbabe wako anaejua kama wewe ni bilionea au mgonga debe Smu200
Acha tupate mpumuo asee, asijekiwa maskini mkubwa halafu anazuga rich ehNaona umekutana na mbabe wako anaejua kama wewe ni bilionea au mgonga debe Smu200
Hata wewe ?
Siwezi ku apologise kabisa over my dead body, ni apologise kuwaelimisha madogo wasifanye ngono zembe tena wengine na wazazi na ndugu wenu? na zaidi ninaacha kwa heshima ya watu wako wawili uliowapenda sana kwa dhati ambao hawako duniani kwa sasa, kwa heshima ya hao watu naacha kucomment kwenye huu uzi.
Views 1M soon haa ha ha...noma sana[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]naona karibia 1m views keep going guys
Tumia akili kubwa bouy wewe hap ni kama stendi alafu ukahubiri Injili mchana mwema njoo tujadili utajiri wetu huku sio huko ndugu yangu. Asubuhi njema ninaomba hela ya mbege nikaondoe stress mie tunda la kimasihara lishanitokea pua kua msomaji na angalia upepo nawe uende ivo ivoHata wewe ?
Siwezi ku apologise kabisa over my dead body, ni apologise kuwaelimisha madogo wasifanye ngono zembe tena wengine na wazazi na ndugu wenu? na zaidi ninaacha kwa heshima ya watu wako wawili uliowapenda sana kwa dhati ambao hawako duniani kwa sasa, kwa heshima ya hao watu naacha kucomment kwenye huu uzi.
Tumia akili kubwa bouy wewe hap ni kama stendi alafu ukahubiri Injili mchana mwema njoo tujadili utajiri wetu huku sio huko ndugu yangu. Asubuhi njema ninaomba hela ya mbege nikaondoe stress mie tunda la kimasihara lishanitokea pua kua msomaji na angalia upepo nawe uende ivo ivo
Kwahiyo story iko nusu. Au ulimalizia nimesubiri kipande ila wapiiSaivi kaka yenu nalewa sana maana nikiwa timamu nahisi mkosefu sana yani siwezi lala bila konyagi pembeni
Sio kamanda baharia mie kamanda by profesional kabisaSafi sana mkuu kwa kumtuliza bilionea huyu..
Nb. Mabaharia mjifunze kutoka kwa huyu baharia..maana hakujali urafiki alionao na jamaa ila alichofanya ni kuwa protect nyie at any cost..
Ikibidi kufa kubali kufa ili wenzio waishi..Salute mkuu!
Tunakuvika cheo Cha Kamanda Baharia
Unataka nn sijakuelewa yaacheni huyu ni mwanangu siwezi kumweka hadharani hapa utajiri wetu tunaujua tulikoutoa ila hapa kuna watu wa vipato tofauti tofauti sio vyema kuzungumza hapa , kaka PATIGOO humu huezi eleweka nimepitia comments zako vizuri ndio nikaandika hivi.Boss Nilipe halafu nitumie ujumbe unaoutaka pm mi niwe nauweka hapa.
Sijafikia rank hiyo bouySalute platoon Commander
Aiseee[emoji41][emoji41]Afu wa kwako wa kike kabisa [emoji41][emoji39][emoji39]
Maliza paredi mengine yaendelee humu ni uwanja wa burudaniSajenti..au lutenanti..?