LEGEND NARUDI TENA HIVI.....
Kwanza nikiri tu mi sio mzinzi sema napendanga kupiga show

.
Juzi Kati nilitinga kwenye harusi ya mshikaji wangu mmoja hivi. Sasa Kuna kidemu kimoja nilitokea kukielewa Sana Ila namna ya kukitongoza sasa ndo ikawa mbinde. Kwanza mishemishe zilivokua nyingi Hadi nikachanganyikiwa. nimekavutia upepo hadi saa sita usiku nikawa nime give up. Nikaamini tayari mkeka ushachanika.
Imefika saa 8 hivi mchizi wangu mmoja akaja kunitonya kua anasepa magetoni kulala nikamwambie tusepe tu hata mi nshachoka. Sasa ile natoka nje nakuta msela yupo na msafara wa mademu watatu mmoja Kati yao nilikua namjua ni demu wa yule mwamba halafu wawili walikua ni wageni machoni mwangu Ila mmoja wa hao sura ngeni ni yule manzi niliyekua namtamani patamu hapo

.
Basi tumesepa Hadi gheto kwa mdau akawaonesha sehemu ya kulala wale wademu wawili yeye akazama chumbani na yule manzi yake mi nimebaki sebuleni. wakati wansepa nikasema hapa sikubali nikakaitakale kamanzi.. sorry njoo nikuulize kitu kakasita halafu kakaja yule mwenzake akajiongeza akasepa... hahhahahahha kilichohapeni ntasimulia siku ingine Ila ndo hivo nilivokula "epo" kimasikhara