Huyu jirani simuelewi. Ni single mother na hatunaga mazoea zaidi ya chatting za kawaida tu na sijawahi hata kumtongoza. Nimejikuta najiuliza maswali mawili hapa hapa.
1. Anataka kuniingiza ktk grid ya taifa?
2. Anataka anile kimasihara kisha anipige mzinga? Inafikirisha [emoji848]
 
Nenda pharmacy uchukue ile zana ya 'extra strong'.
Usibusu wala kunyonya chochote, hakuna kipya unachoweza kumfanyia, na wala hakuna tuzo yoyote utakayopata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole
 
Kwahyo we unatakaje kukupongeze au?? Haya hongera kwa kutula kimasihara
 
Hii ya kula mwenye PhD. Kuna mdada mmoja PhD nilikuwa namheshimu sana, akimwaga madini kwenye kikao kazi kila mtu ananyamaza kumsikiliza na kuchukua nondozz kwenye notebook kwa umakini mkubwa. Ana milundo na milundo ya papers kwenye mijarida ya kisayansi huko, na yote kaongoza mwenyewe tafiti hizo, kazunguka nchi yote hii na nje.
Siku napata tetesi analiwa na mtendaji wa kijiji mwenye elimu ya la saba niliwagombeza wambea wale nikawaambia wakome wawe na heshima kwa aliyewazidi. Nilipokuja kupata ukweli wenyewe nilishangaa sana, kumbe ati kweli mtendaji anakula, na hata mtoto wa Dr (huyo dakta ni singo maza) anamwita mtendaji "baba" (of course baba mtoto anajulikana siyo huyo mtendaji).
Kama mtendaji angekuwepo hapa JF angetuambia alivyopata zali la mentali kumla bosi kimasihara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…