mkuu ilikuwa ni time interval ya week...nlishangaa
 
Hiyo siyo kawaida mzee, ulishawahi kuzungumza naye kwa hiyo namba?, inawezekana alikosea kutaja, au ailikupa wrong number.
Yan nlimfuata kabisa na nikamla next week napiga kikaja chuma kingine alafu kama kinanijua long time niliacha sababbu nliona kama ushirikina na kilikuja kuniacha alipoolewa na mzungu...
 
Yan nlimfuata kabisa na nikamla next week napiga kikaja chuma kingine alafu kama kinanijua long time niliacha sababbu nliona kama ushirikina na kilikuja kuniacha alipoolewa na mzungu...
Naona hiyo ni scenario tofauti kabisa, inawezekana pia akawa alidivert namba.
 
Naona hiyo ni scenario tofauti kabisa, inawezekana pia akawa alidivert namba.
nikipata time ntakunyooshea maelezo vizuri for now i cant, nawah job..the whole thing is a bit long and very very contrversial kwa level ambazo wale wazee wa chai watatujazia server...
 
Hii kitu ilikuwa kabla ya kusajiri line kwa namba yako ya NIDA. Sasa hivi unaweza ukasafiri sehemu line yako isitumike hata mwezi mzima, ukiweka unapiga kazi tu
 
WAHI CHAP KAFATE MZIGO USITUANGUSHE MABAHARIA AKIJA MWAMBIE AJARIBISHE UONE ...NDIO MUANZIE HAPO
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Likewise!
 
Yan nlimfuata kabisa na nikamla next week napiga kikaja chuma kingine alafu kama kinanijua long time niliacha sababbu nliona kama ushirikina na kilikuja kuniacha alipoolewa na mzungu...
Hao ni machangu new generation, huwa wanashea namba. Wana vi-saccos vyao na hawana uchoyo kupigiana pande. Kama umewahi kusikia mambo za escorts, basi ni kama hivyo kwa version ya uswahilini.
 
Natamani sana kula mwenye PHD.
Maana kiwango cha juu cha elimu nilokula ni wale wenye Masters kushuka chini. Je wewe elimu ya juu uliyepiga ni elimu gani?
Hawa ndio wana nyege balaa. Na vile hutongozwa kwa nadra, ukivaa ujasiri kidogo tu umeng'oa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…