Kipindi cha ujana kuna demu aliletwa kwangu ili nimsaidie akarecord mziki kwa Majani - mkali kinomaa ana 18 yrs ndo katoka kumaliza form Six. akanikuta Mzee mzima nipo pale Sinza Mori Bar enzi hizo - nikamuuliza unapenda kunywa nini akasema windock - aaahhh nikajua leo naua...

zilipofika windock 3 nikaona macho yanaanza kuwa makubwa ya kurembuka - nikamwambia twende nikamwonyeshe getto langu ili siku nyingine asisumbuke kunitafuta , akasema ayaa huku akiangalia pembeni --- mzee kwani alitoka salama...

Sasa hivi ni staa mkubwa tu hata mihela ananizidi, kuna siku ntamwomba nigusishe tena sijui atakubali?
 
Tupe code tuichambue tumjue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…