Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kipindi cha ujana kuna demu aliletwa kwangu ili nimsaidie akarecord mziki kwa Majani - mkali kinomaa ana 18 yrs ndo katoka kumaliza form Six. akanikuta Mzee mzima nipo pale Sinza Mori Bar enzi hizo - nikamuuliza unapenda kunywa nini akasema windock - aaahhh nikajua leo naua...

zilipofika windock 3 nikaona macho yanaanza kuwa makubwa ya kurembuka - nikamwambia twende nikamwonyeshe getto langu ili siku nyingine asisumbuke kunitafuta , akasema ayaa huku akiangalia pembeni --- mzee kwani alitoka salama...

Sasa hivi ni staa mkubwa tu hata mihela ananizidi, kuna siku ntamwomba nigusishe tena sijui atakubali?
 
Kipindi cha ujana kuna demu aliletwa kwangu ili nimsaidie akarecord mziki wa Majani - mkali ni balaa - 18 yrs, akanikuta Mzee nipo pale Sinza Mori Bar enzi hizo - namuuliza unakunuwa nini akasema windock - aaahhh nijajua leo naua...

zilipofika windock 3 nikaona macho yanaanza kurembuka - nikamwambia nikamwonyeshe geto ili siku nyingine asisumbuke kunitafuta --- mzee kwani alitoka salama...

Sasa hivi ni staa mkubwa tu hata hela ananizidi.
Tupe code tuichambue tumjue
 
Back
Top Bottom