Hiyo kimasihara ya kibabe sana Binti kama ni mgeni Kwa Jiji la Amosi, lazima akupe tu
 
ulipiga tukio la kishujaa sana. sema nikupe zawadi gani
 
Hayo ni maneno ya mgongewaji tu hayanikatishi tamaa. Mtoto ameomba smartphone, Nampa. This time nitamgonga sana, yaani sana ili ukasirike zaidi. Yaani nagonga kwa niaba ya makokoro
Hahaaaa pambania kombe boss, salut nitaitoa baada ya kunipa mrejesho
 
Mkuu 'Kitu' Kizito Chenye Ncha Kali Kinakuita polepole.
Take Care! Mtoto wa Shangazi kakukumbuka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakukunogesha vzuri...? Mbona hujamuomba mechi ya full time
 
Msiokunywa Pombe, Starehe yenu Mbaya Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…