Discutio ni kitu gani
 
Yaan essay zingne hazishawishi kusoma khaaah. Yaan mtu anaandika had anaboa sasa daaah.

Watu shusheni essay zenu sie tusome, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toa na wewe kisa chako
Au masihara haijakukuta
 
Mzee, kwanza nilikua busy sana, pia hata nilivyomwambia hivyo sikuwa namaanisha, nilimwambia ili aache kuniita Baby japo akiniona nipo na demu wangu huwa anakuwa na adabu

Lakini sijawahi kufikiria kumla
Kwa mara ya kwanza.. umeruka
 
Yaan essay zingne hazishawishi kusoma khaaah. Yaan mtu anaandika had anaboa sasa daaah.

Watu shusheni essay zenu sie tusome, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazima zikuboe, maana we mwenyewe hueleweki kama ni mwanaume au mwanamke, nahisi ata nafsi yako haielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…