Verifier
JF-Expert Member
- Aug 14, 2019
- 457
- 1,541
Bado anakuja japo kapunguza, sio kama mwanzo.Bado anaendelea kuja nyumbani kwenye shughuli au na shughuli za ntumbani zikaishia hapo?
Bado anakuja japo kapunguza, sio kama mwanzo.Bado anaendelea kuja nyumbani kwenye shughuli au na shughuli za ntumbani zikaishia hapo?
Baada ya walimu kukupa somo.Nimekusoma mkuu mambo ya kuchagua nilishaachaga saiv nachomeka utambi tu sibagui mimi![]()
Kabla

huyu mimi kabisaHuyu demu tunasali naye , wiki 3 nyuma ivi alinioa namba yake
Basi nikamuomba Kumayake , Demu akajifanya kunilaani.
Nikawa kimyaaaa, nukampotezea, anyway, Mimi Huwa Sina kasumba ya Kubembeleza mwanamke wakati najua muda wowote napata mwanamke .
Jana kanisani Mimi baada ya Ibada, nikajiondokea zangu.
Sasa yeye ndo akaona GIA yakunianza .
View attachment 2173687
Wewe umesema nimwambie nataka kutoka nae,,lkn ndugu yetu anasema tuwaambie nataka kukutomba au njoo huku nikunyonye matako,Kwan ugumu na uongo uko wapi kwa nyuzi za jamaa, sema unaogopa mademu kwa hiyo unaona mambo hayawezekaniki. Chief ita mwanamke with confidence mwangalie usoni bila wasi wasi muombe namba, mwambie nataka kutoka na ww kwa vile nimevutiwa na ww, amini kati ya wanawake 12 wawili tu watadengua ila hukosi 8 kuwapelekea moto.
Hivyo sion kipya kwa nyuzi za jamaa, otherwise mnaopinga ni waoga
😂😂😂nioo nkunyonye matako 😂😂iliponza mtuWewe umesema nimwambie nataka kutoka nae,,lkn ndugu yetu anasema tuwaambie nataka kukutomba au njoo huku nikunyonye matako,
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hahahaha nimecheka kinouma huyo jamaa analaani mpaka na Leo hahahaha jf Raha SanaaKila nkiiona hii ID ya Carlos The Jackal namkumbuka yule jamaa aliefata ushauri wake akamtumia mke wa mjumbe sms "njoo nkunyonye matako"jamaa alimlaani vikali sana
![]()
Nipo kwenye bus naelekea songea, pembeni yangu kuna blaza amekaa na pisi kali na inaonekana anataka aile kimasihara lkn mda wote anapiga piga simu huku anaongea kwa masifa sifa mara sijui mwambie yule kijana wangu wa site akafate mzigo wa gypsum wa milioni mbili pale hardware kisha ahakikishe gari yangu hainyonyi betri mda wote ntakapokua songea.. kwa tambo hizi sijui kama atafanikiwa... Ngoja tuone!


kama manzi ni wa kuja atakulaHakuna manzi anaeweza kuliwa na huyo fala,Nipo kwenye bus naelekea songea, pembeni yangu kuna blaza amekaa na pisi kali na inaonekana anataka aile kimasihara lkn mda wote anapiga piga simu huku anaongea kwa masifa sifa mara sijui mwambie yule kijana wangu wa site akafate mzigo wa gypsum wa milioni mbili pale hardware kisha ahakikishe gari yangu hainyonyi betri mda wote ntakapokua songea.. kwa tambo hizi sijui kama atafanikiwa... Ngoja tuone!
HahaaHakuna manzi anaeweza kuliwa na huyo fala,
Shtuka nyingi story zake ni chai, hana issue.Kufukuzia thamani it cost energy mpaka uwe una uhakika wa mwisho wa mwezi Kama wewe hapo daktari hivi mkuu.
Ila mtu anatokea mpanda anawaza anawaza akafuate mzigo Kenya ,na huko apakie mchele tokea mpanda aupeleke sudani kusini na akirudi huku kenya apakie sabuni za jamaa arudi nazo awauzie wenzake. Sidhani Kama atakuwa na huo muda. Ila inaonekana we ewe daktari mdogomdogo ndio umehitimu bado unapooza machungu yako ya kutoswa enzi hizo ukila maharage boarding schools.
Sidhani umefikisha 10yrs kwa ajira and am sure hujavuka 35yrs kwa jinsi ulivyo.
Na familia ndio sijui Kama unayo. Mana una madini kalosi mpaka basi. Nakuomba uandike kitabu mkuu ama nije nikufanyie usahili ya kitabu mie naandika kitabu nitakupa%
Kiukweli unayo potential that you can convert in term of money
Naona manzi yuko bize na simu yake anachat kaweka earphone hana time kabisa na mselaHakuna manzi anaeweza kuliwa na huyo fala,



Nipo kwenye bus naelekea songea, pembeni yangu kuna blaza amekaa na pisi kali na inaonekana anataka aile kimasihara lkn mda wote anapiga piga simu huku anaongea kwa masifa sifa mara sijui mwambie yule kijana wangu wa site akafate mzigo wa gypsum wa milioni mbili pale hardware kisha ahakikishe gari yangu hainyonyi betri mda wote ntakapokua songea.. kwa tambo hizi sijui kama atafanikiwa... Ngoja tuone!





khaaah makubwaaah uwiiiihhahahahah!!ww fuatilia movie utatupa mrejeshoNaona manzi yuko bize na simu yake anachat kaweka earphone hana time kabisa na msela![]()
Kwahiyo utaenda kuwapiga CHABO?Nipo kwenye bus naelekea songea, pembeni yangu kuna blaza amekaa na pisi kali na inaonekana anataka aile kimasihara lkn mda wote anapiga piga simu huku anaongea kwa masifa sifa mara sijui mwambie yule kijana wangu wa site akafate mzigo wa gypsum wa milioni mbili pale hardware kisha ahakikishe gari yangu hainyonyi betri mda wote ntakapokua songea.. kwa tambo hizi sijui kama atafanikiwa... Ngoja tuone!
Usisahau kutupa mrejesho jamaa. Huyo hali mzigo wewe ikibidi ucheze kama Pele hapo.Nipo kwenye bus naelekea songea, pembeni yangu kuna blaza amekaa na pisi kali na inaonekana anataka aile kimasihara lkn mda wote anapiga piga simu huku anaongea kwa masifa sifa mara sijui mwambie yule kijana wangu wa site akafate mzigo wa gypsum wa milioni mbili pale hardware kisha ahakikishe gari yangu hainyonyi betri mda wote ntakapokua songea.. kwa tambo hizi sijui kama atafanikiwa... Ngoja tuone!
Utasubiri sana ianguke wenzako wameshajua udhaifu upo wapi ili atambae nayo, usilalie mlango wazi riziki ya mwenzakoNipo kwenye bus naelekea songea, pembeni yangu kuna blaza amekaa na pisi kali na inaonekana anataka aile kimasihara lkn mda wote anapiga piga simu huku anaongea kwa masifa sifa mara sijui mwambie yule kijana wangu wa site akafate mzigo wa gypsum wa milioni mbili pale hardware kisha ahakikishe gari yangu hainyonyi betri mda wote ntakapokua songea.. kwa tambo hizi sijui kama atafanikiwa... Ngoja tuone!


Endelea kusubiri mliwaji nae keshastukia mchongo huoUtasubiri sana ianguke wenzako wameshajua udhaifu upo wapi ili atambae nayo, usilalie mlango wazi riziki ya mwenzako![]()
Watoto siku hizi ni wepesi sana , nyie mabechela mnafeli wapi?Endelea kusubiri mliwaji nae keshastukia mchongo huo