Na wewe kaa mkao wa kufumuliwa, maana malipo ni hapa hapa.
 
Wanaume tunatofautiana na wanawake vilevile. Hivyo baki ulipo huko kwingine utaharibu vibaya mno. Work hard pata pesa, be smart and cool utapata wengi tu kwa ukimya wako.
 
Kila nkiiona hii ID ya Carlos The Jackal namkumbuka yule jamaa aliefata ushauri wake akamtumia mke wa mjumbe sms "njoo nkunyonye matako" [emoji23][emoji23][emoji23]jamaa alimlaani vikali sana[emoji23]
Yule mjumbe aliamua kesi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jaman kujiamin ni kila kitu, nimeamua kufanya utafiti lakini katika utafiti huu hauna mdhamini (funder) wala haihusiani na kuandika kitabu.
Utafiti umehusu yafuatayo

1. Kwa siku ikiwa confident ukichukua namba za mademu 6, wannne utawala , mmoja atakuzungusha sitaki nataka na mmoja atakupa namba na hatajibu msg wala kupokea simu.
[emoji1][emoji1] hakuna hasara hapo.


2. Ukipishana na demu uko kwenye gari yeye anatembea kwa miguu fungua kioo dondosha kikaratasi endelea na safari asilimia kubwa huokota kile kikaratasi.

Huwa najaza mafuta shely na siku hizi ni lazima uchukue risti, sasa ndio nimezitumia kufanyia utafiti, nikumuonq msichana nashusha kioo nadondosha kile kiristi kikiwa kimekunjwa kati ya 10 nane walikiokota tena hawakukisoma pale pale ila walishikilia mkononi na kuendelea na safari ili akisome mbele aendako.
 
Mbona umeongeza hari __30 halafu sio kimasikhara mzee?
Umetukosea sana wadau humu ndani
 
Kuna dada mmoja mzuri rafiki yake na mke wangu! Huyu dada alikuwa karibu mno na mke wangu, shughuli zote za kifamilia nyumbani kwangu alikuwa hakosi kuja kumsaidia kazi mke wangu. Yeye kasomea mambo ya hoteli na alikuwa kaajiliwa ktk moja ya hoteli kubwa hapa mjini kwetu!

Jumapili moja, mida ya saa tano hivi, nikiwa na mchepuko wangu, tulienda ktk hoteli moja kujiliwaza. Baada ya kupata chumba, tuliamua kukaa kwanza kwenye mgahawa tule ndio tuzame room! Wakati tukiendelea kupata kinywaji huku tukisubiria oda yetu ya chakula, alipita Supervisor kuhakikisha kama wateja tumepata huduma nzuri! Nusura roho initoke, Supervisor ni yule rafiki wa mke wangu! Kumbe kahamia katika hoteli hii! Alinisalimia kwa uchangamfu na mimi huku nikiwa na mashaka nikajikaza kuweka tabasamu nikujua hakika "nimekinukisha" nyumbani. Alihakikisha oda yetu ya chakula inaletwa mapema.

Nilivaa ujasiri nikamuomba namba yake akanipatia. Pale pale nikamtumia sms nikamwambia "Shemeji haya ndio mambo ya wanaume, nisitiri". Baada ya muda alinijibu USIJALI SHEMEJI. Nikaandika SMS nyingine, "Lini upo OFF? akanijibu. Basi kuanzia hapo tulianza mtindo wa kuchart naye.

Bahati nzuri siku aliyokuwa Off ilikuwa Jmosi, nikampanga tukaenda mji jirani nikamchinjia huko. Niliendelea kumgonga hadi pale alipoanzisha tabia ya wivu na kutaka kunimiliki 100% nikaona hii sasa itanifanya niisambaratishe familia yangu na sio haki. NIKAMTEMA! Ilikuwa ngumu kwake kukubali lakini baadae aliendelea na maisha yake. Mke wangu hakujua kitu!
 
Mie ndio maana nasemaga hawa warembo wanpenda sana kushare migeggedo....
 
Qmmae wakala wa kukatisha tiketi uliyetaka kumla wife kimasihara. Nilikushughulikia mpaka kidogo kibarua kiote nyasi. Mbwa ww.
Pole sana, na ni ngumu kumeza lakini ukweli lazima usemwe hamna wife hapo!! Kwa minajili hiyo 'ukiwepo' utashughulikia wengi kwa ajili ya mkeo, usipokuwepo kaliwa!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ