Hii mada inahusu kula tunda kimasihala je wewe ulikula? Vidole sio kula nyooka fuata maelekezo ya mada
 
Hapo umetisha sana mwaisa
 
Utaishi milele?

Naishi na sintokufa. Sbb Nipo hai sasa na Mungu amekwisha nipa uzima wa milele. Roho haifi kamwe unakufa mwili. Hapa duniani tayari wewe ni Mfu unaetembea. Roho yako haioni dhambi mauti ya kwanza, suburi mauti ya pili shetani atakapo amua kujichinjia wewe kuku wake maana unapenda matendo yake. Lakini Yupo Yesu aliye hai na akutetee hilo Giza litoweke ndani yako twende wote mbinguni.
 
Kwani dunia ni yetu basi?

Ya shetani lipo wazi kabisa. Mi sishangai watu kupata ajar na kufa kabla ya Siku zao ni mwenye dunia anachinja tu. Lakini walio wa Mungu wataishi milele. Na wewe ndugu yangu Neema ya Yesu ikufunike upate kuona Nuru na wala si Giza. Uone heri wala si shari. Uone utukufu wa Mungu wala si wa shetani ndani ya fahamu zako. Yesu akuteteeni nyote humu
 
Dunia ya shetani wapi na nyie kwani yeye ndie alie iumba mbona mnatuchanganya
 
Da mkuu uzinzi ni uchafu mwanzo mwisho na hayo yote raha yake haizidi sekunde 3.Sema ukiwa kwenye ndoa uchafu huo una Baraka zake ila huko kwingine ni machukizo mbele za Mungu .ndo maana unashambuliwa kwa kuyasema haya kwenye Uzi huu wa kusifia zinaa

Ni kweli lakini si kulamba Mkundu haiwezekani. Pia wanaonishambulia sio wao bali ni Roho chafu ndani yao. Roho walizolidhi kwa wazazi na babu zao.Tuombeane tu atakae sikia sauti hii ndogo basi aache zinaa hivo tu kwa uweza wa Mungu. Inashangaza mtu anaenda kanisani hilo ni kanisa au hekalu la shetani[emoji16] linalopokea roho za uzinzi. Viongozi wanasali hawaoni vipofu. Dini inashindwa kuwasaidia vijana waliofungwa na hii Roho. Dini ni mavi hizi Dini za Babu,Baba zenu za kulidhi ndo zinafikisha hapa taifa la Mungu. Mlilie Mungu akupe njia kijana
 
Dunia ya shetani wapi na nyie kwani yeye ndie alie iumba mbona mnatuchanganya

Anatawala. Kaa angalia matendo yake. Si alipewa nguvu hapa duniani utamshinda wewe huoni anavotawala humu hamna hata Mtu anaejutia baada ya Stori. Kuumba si issue kwan watu hawaendi kwa waganga kupata watoto. Relux vyote ni vya Mungu hata shetani kaumbwa nae uchaguzi ni wako
 

•Unaweza nionesha mfano wa roho ambazo hazijakufa?
• kina nani wengine kwa mifano isiyopana shaka walioko mbinguni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…