Ndio shida ya kukaribisha wageni nyumbani!
 
Soon watakufukuza hapo hehehe
 
85% wanakulana sas ukute dogo lako ni izo 15%
Msafala wa mamba kenge hawakosi ila we ndo unamjua dogo lako alivo kama ni kiwembe au laah
Dogo langu liko age ya 22 lakini si unajua mtoto wa nyoka ni nyoka tu.

Hata mimi nakumbuka mdingi alivyokuwa anawapelekea moto.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kaka umetisha

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
umeniudhi sana unachomfanyia mzee,ila nimedurahi uliposema Simba Sc kashinda
 
Kwanza angalia usije mbebesha kijusi chako...pili huku kusini hatuna compications kama vipi toa hela ya barua tu usogeze mwali huyo ujilie
 
Natamani niwe anko

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kimasikhara inasonga sana yaani! WATU wana visa ni hatari! Nnaamini watu hadi wamepata watoto kimaskhara ila wametunza Siri kwerikweri🤣
 
[emoji2][emoji2][emoji2] uende kibaharia, ukiendelea kwenda kiboya boya siku zako 40 zinakaribia na Babu atakutimua vibaya Tena kwa kutupiwa mizigo Yako nje. Ila mbuye ya kuiba huwa tamu mtu asikwambie.
 
Kama hujaoa mwoe tu udumishe undugu na rafikio
 
bibie sijui kama ntakuwa nimekufananisha,kuna uzi mmoja uliwahi sema unanyanduana na wadada wenzio,alafu kuna jamaa ulimpa ofa kama anataka kuona live show aseme.
Watu mna kumbukumbu

Hatari [emoji3][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…