Sasa baba shakira unatongoza hapo pia unajitetea kinyomge sana, hilo tukio na kimasihara wapi na wapi
Be patient mkuuu...demu sio dem wangu nimerudi kutoka Dodoma ila nimemdanganya kuwa nitaondoka hivi karibuni then nkamzingua kuwa kabla siajondoka nilale nae nile tunda kakubali....nasubiri hiyo siku kamili ya kula papai bivu ndo nije niuweke hapa huo uzi
 
Kabaab
 
Sasa ndio masikhara hiyo? Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mufindi tea
 
Chai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nimesema sio kimasihara ioo mshapangana, na huyoo demu unampanga kinyonge sana mzee ukimla basi kakuelewa tu mwenyewe ila mbali na hapo humli huyoo demu

Basi nyingi sio masihara, mpaka unakula pisi ujue tayari alikua keshakubali kuliwa ni ile tu kwamba anakua tayari kishingo upande mpaka umpe motisha alegee, kaa uhamin unaweza mset akaja eneo la tukio ukaparangana na mzigo usile Ila makofi na matusi utakula ya kutosha.
 
Kuna kipindi nilikuwa na mchepuko mitaa ya mbezi. Mtoto mkali pisi iliyosheheni kisawasawa. Mahusiano yalinoga hadi akaamua anizawadie mtoto tena akatoka copy yangu kabisa. Sasa nikawa naenda pale mara japo sijawahi kuwa na ratiba kamili na siku zingine nilikuwa simwambii kama naenda. Siku moja nimetoka mkoani nikawa nimetupia kwenye buti mazagazaga kadhaa. nakumbuka nilinunua ndizi za kupika mkungu mmoja, ndizi za kuiva, miwa kadhaa na matunda aina tofauti tofauti. Nilipofika Mbezi nikapita buchani nikanunua 2kg za nyama na mikate miwili. Nilipomaliza nikadrive moja kwa moja, nilipokaribia kabisa nikampigia. Nikampigisha story za hapa na pale wala sikumwambia kama niko wapi. nilitaka tu nijue kama yupo home nimpige saprise. Tulivyoongea akawa anajaribu kunionyesha hayuko vizuri bajet imeyumba. nikamwuliza kama nasikia sauti ya mtu mwingine uko na nani? akasema rafiki yake amemtembelea. Nikamwambia wa kiume eeeh? akachekaaa, akasema hapana ni shost yake akamtaja na jina. akasema hebu msalimie. Basi nikamsalimia baadaye akarudisha simu. Sasa alishapanga kunipiga mzinga nikamwambia poa ngoja nikutumie hela, nikakata simu.

Ndani ya dakika mbili wakasikia gari inapiga honi mlangoni. Kumbe wakawa wanaulizana ni ya kule kwa mama mwenye nyumba au ni kwa baby wangu. Akaja mama mwenye nyumba, alivyoniona akamwita na kumwambia mgeni wako. Akaja kunifungulia kwa mshangao, hakuamini macho yake. Basi nikashusha mazagazaga yangu hapo, nikaingia nikamkuta huyo shost wake, kumbe naye pisi kali kama yeye japo huyo shost yake mweupe zaidi. Sikukaa sana nikamwambia nimetoka safari nimechoka ngoja niende nahitaji kupumzika. Wakafanya kosa moja la mwaka. Akaniambia ujue huyu rafiki yangu naye anaenda njia moja sasa si umpe lifti.. Nikaondoka naye. Sasa Ilitakiwa mimi nafika alafu huyu bidada anaendelea mbele kidogo. nikaamua kumfikisha mpaka karibu na kwao. Nikamtania kumwambia nisije nikakufikisha mlangoni nikapigwa mapanga si unajua wabongo wana wivu sana. Sasa nikaomba namba yake tufahamiane bana, huku naweka buffer zone asije akasimulia utani wangu na yeye kwa mama mtoto wangu. nikaona ananipa ushirikiano. Kabla hatujafika nikaanza kulalamika. Nikamwambia nimeendesha gari safari ndefu nimechoka sana mgongo unauma. Nilitamani sana ningelala na mama J, anifanyie massage sasa ana mtoto mchanga na pale mazingira hayaruhusu mimi kulala, sijui nifanyeje mimi leo. Akaniambia mbona kuna sehemu za massage si unalipia tuu unafanyiwa alaf unarudi zako, au vumilia kesho mapema mwite mama J aje akufanyie. Nikamwambia kuhusu kwenda massage parlour mama J akisikia ataniua maana kule uwezekano wa kutoka salama hakuna. Nikamchombeza kiutani utani nikamwambia au twende ukanifanyie. Akaguna kiguno flani kama mtu ambaye hajielewi elewi. Nikapiga sound mara huyo kakubali ila kwa masharti kuwa mama J asije hata kuhisi maana urafiki wao ni wa kufa na kuzikana.

Tukakubaliana aende kwanza home alaf atanitafuta jioni na kweli niliselebuka naye usiku kucha.
 
Hahahaha nataka kujua episode iliyofuata
 
Hahahaha nataka kujua episode iliyofuata

Inayofuata siyo tena kula tunda kimasihara. inahitaji coverage nyingine. Ila kwa ufupi wala hatukuwahi kugombana, ikawa mara moja moja tena kwa mbaaaaali. sema ilinigharimu vitu vidogo vidogo kama vocha. siku nikiwa poa nampiga taf ila hatimaye nikapotezana naye kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…