Ila kwa maovyo ovyo yale mzee anaamkaje asee? heheheh
 
Boya kumbe tulikua wote kambi moja na OP moja daah sw bana MP Immah hakuwanyaka tu au Dakanyama
 
Visa vyako vinatosha mkuu, imefika mahala nikiona kisa chako na-skip.
Sorry kwa hilo maana chai mingi sana ndani yake
Vimekutosha wewe, nashukuru ulisoma hata hapa, endelea ku-skip. Ingekua tunalipwa humu hata rboy mngemtanguliza kusiko.

BTW, Ukikua, utajua wapi kuna chai wapi hamna.
 
Vimekutosha wewe, nashukuru ulisoma hata hapa, endelea ku-skip. Ingekua tunalipwa humu hata rboy mngemtanguliza kusiko.

BTW, Ukikua, utajua wapi kuna chai wapi hamna.
Sikutegemea kama kuna mwanaume ana wivu na chuki hvyoo!!maisha mafupi haya!!mtu anakasirikia mpk kwa yasomuhusu!![emoji28][emoji1][emoji1]wanadaamu kaaahh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…