dadadekii
 
Tulia binti ujumbe ni wa huyo hata sio wewe wengine mmeshakataliwa huyu tu nimemuona ana kibali mbele za Mungu aliye hai na Mungu atamrehemu akitubu na kuacha dhambi. Ni mimi nimeona sio wewe
Manabii mmekua wengi aseee kaaaa hahahaa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mwanzo huwa ni mgumu
Kidogo kidogo utashangaa unazama piemu kuendeleza kukubaliwa na Mungu
Embu nipishe mie, wewe uliekubaliwa unafata nini kwnye huu uzi?
Ufirauni tuu

Yesu alikaa na makahaba na wanyang’anyi tuombeane. Maana kuna kusaga meno. Usikiapo chochote cha Mungu usiufanye moyo wako mgumu. Unaweza kunyamaza na kutafakari umepewa Akili. Utachagua mwenyewe kunyoa au kuendelea kusuka hamna haja kuni attack
 
nimeisoma nikiwa kitandani na mvua inanyesha kubwa🍆
 
Moto wa milele sababu yeye ni mwanamke, angesimulia mwanaume mngemsifia!!!

Acha unafki

Tafuta sehemu nimesifia moja tu. Naiongelea dhambi simuongelei mtu pia asipo tubu yeyote lakini nimependezwa kusemezana na Huyo. Wengine najua ni viburi. Yeye wala kasema nimuombee mi sio mjinga
 
Hatimae zimeanza kuja chai za kike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…