Beberu umeiwekea vikwazo donor country, ikalegeza masharti.
Malizia stori mr beberu
 

Sina tabia ya kutoa credit sana ila umetisha kwenye vikwazo hiyo ni sanctio

Noma



Again unaandika vizuri sana
 

Cash Money Forever!
We mkorofi. Nadhani unapenda kuangalia tamthilia ambayo imekufunza kuwaacha watu na kiu ilhali wapo ukweni!

Angalia tena umeacha swali. Nini kilijiri baada ya kufurahia salamu?

Bazazi!
 
Binti bado mdogo ingeniletea matatizo mbeleni.Mana alishaanza kuniandikia vibarua kwenye vikaratasi anampa mdogo wake aniletee.Barua zake nikawa nazijibu

"Nakuheshimu hivyo jiheshimu mimi ni kama kaka yako"
Umetisha, muda huo ushakula vyako
 
Mkuu, kimsingi mtu anayetumia dawa za ugonjwa ule kikamilifu (adherence) ana nafasi ndogo sana ya kuambukiza kwakuwa ANAFUBAZA virusi.Hii haitoi tiketi kujilipua ovyo..wataalamu wa afya tunaelewa sayansi yake.
 
Kuna uzi wa kula tunda kimasikhara....hayo hayo masikhara naona kuna watu wamelishana matunda yenye wadudu.tayari baharia mmoja anapiga ukunga baada ya kula tunda kimasikhara na kupata ngoma kimasikhara hivyo hivyo.

Moderators huo uzi sasa unatosha masikhara masikhara au mzaa mzaa hutumbukia usaa.

Mkisha kuta sisi tutawapeleka bwana.
kisha wazee wa zamani tutasimama pembeni.
lete uji selemani na maharage sahani.
kumbe tuogope nini na mpunga upo jirani?
wacha tule tu mpunga kwa ngono Zembe zenu.

Mods. Ondoeni uzi wa kula na kuliwa tunda kimasikhara.watu washakula wadudu sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…