Mke wako Kuna jamaa anamkojolea hilo lipo wazi
 
Wanawake ndivyo walivyo muda you're playing hard kurekebisha kila kitu yeye ndio anazidisha vitimbwi, muda ukiamua enough is enough ndio anaanza kujifanya anahitaji muyajenge na ndio utamsikia alisema kale kamsemo kao maarufu kakupata public sympathy "nimefanya kila niwezalo kuokoa ndoa yangu imeshindikana"
 
Me nimemwacha nione mwisho wake..ila Dr ntamtomba lazima...
 
Amekosea nimemsamehe ananiogopa eti bora nimpe hata adhabu anasema ameloose confidence na blabla kibao anashangaa nilivyosamehe kiroho safi..mkuu nothing wrong with me mkuu.
Kweli wampenda,si ulimfamania maskini wanawake hatuamini eti kusamehewa kirahisi rahisi!!atakuacha huyoo!!hakuamini tena!mpk na yeye akufumanie may be ndo atajua umerevenge!
 
kama ulivosema tumekusameh kwa uandishi uliofanya stori ionekane ya kawaidaa
 
Nyie ndo hua mkishaupata mnadeny majibu mnafanya hospital shopping na mnasema madaktar wawaambie ndgu zenu mmepata CKD kumbe mnakula mshahara wenu wa zinaa

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Na muda anafika hospital tyr CD4 ziko 2.....
Anaanzishiwa dawa hachukui muda iris inamuondoa..nyambafu kweli huyo....
 
Mbona hujaelezea namna ulivyo-struggle?
 
hahaa alikua anatafuta mtu wa kumlalia huyuu kuwa makinii
 
Aibu kubwa kwa wake za watu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…