Kuna tofauti kubwa sana kati ya wanawake wa bara na pwani, Wanawake wa pwani wanajua sana kubembeleza...Iko hivi mimi na shemeji yenu mara ya kwanza things were superb, ila now we are going thru some stuffs and its all her fault, nimeongea nae mara kibao kwamba "what we had was so beautiful, dont let this die just like that", nimejaribu ku spice up the relationship with some good thing ila everything seems to be void, sijakataa tamaa nime swallow my pride sababu nampenda i am working on it, japokuwa naona she is slow walking me, anyways i will just play by her rules sababu anasema nimpe muda she will get back to normal(wanawake wasomi wasumbufu sana). SASA on monday I got a call from this Gorgeous Doctor nlikuwa simjui kajitambulisha now nimemjua aisee she is very very bold, wise, intelligent, sweet na anajua kubembeleza jaman yan mpaka naona kama dunia yote yangu she cares alot yan its fun around her yan the back and forth convo we are currently having ni very very tempting , sijamla bado ila kunapoelekea ntampandisha cheo mwanamke wangu. Wanawake uzuri wanatofautiana mnyongemnyongeni haki yake mpeni Dr kamzid uzuri Mwanamke wangu, mimi ntaacha natural selection ifanye kazi yake, sina jinsi...Wanawake wengi wanadhan wakiwa wamesoma ni added bonus kwenye value yao na wakipata kazi ndio kabisaa wanaona wao ni keki ya taifa, kwenye mapenz mwanaume ni mwanaume na mwanamke ni mwanamke kila mtu aplay part yake kama inavyotakiwa.