Hujui kitu bora uulize..unadhani neno Light linamaanisha uwezo mdogo? Soma historia kuhusu transformation toka Heavy Machine Guns hadi Light MGs alafu angalia performancy, reliability na efficiency...usikariri neno Light na Heavy..elewa underlying meaning kwanza...watanzania mnajifanya mnajua kjmbe mbunyenye tu...ebo!!!
[/QUOTE]
mkuu mm ninakuamini hata kama sijui kitu ila kwa yale maelezo tu, sina shida.
 
Wakuu tunakumbushwa uku
 
Unaharibu uzii mkuu hapa umefanya kichwa cha chini kishindwe kuleta ushirikiano thabiti
 
Acha nao mkuu wanataka kutuharibia hali ya hewa tu.
 
Nikija kupata mapesa mtoto wangu atasomea chuo nitakachomjengea nyumbani kwangu
 
Mzee ulimpiga vikwazo vya hali ya juu.....

Paka akalainika. Noma saana baharia
 
Urongo.
 
What happened bro
 
Narudi kianza hapa...

Alafu kuna wanawake wameliwa kimasihara wanapita huu uzi kimya kimya...[emoji23][emoji23].

Wengine tunaona hadi mnatumia browser daadeki...[emoji23]

Mje hapa mseme...njoo hata kwa ID mpya tutawapokea tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…