Mzee huyo kaja kukuingia akitumia gia ya shati lako ukajua kabugi, wakati hiyo ndiyo shabaha yake
 
Mbona kimasihara hii imekaa kiuchanga uchanga..haijakomaa kabisa
 
Sasa mkuu, unamuogopa kwa kua kajitambulisha kwako yeye ni askari magereza au?

Rudi ghetto mkuu ukute alikua anakujaribu tu

Nae ni binadamu na ana hisia wee rudi tu kamsikilize
Yani ishu ni kwamba anangangania kuendelea kukaa kwangu hataki kuondoka! Mara ashike simu apigie maafande wenzake yani full miyeyusho!
 
We mvulana tu, umeleta utoto wako huku Shame on you
 
Hii chai,jamaa hawakujui,wakuitie mademu,na usafiri wa kupeleka madame gheto kwao wakupe,big no,ungesema kua washikaji walikuita kukuambia wamezinguana na hawa wasichana na hela ya usafiri kwa usiku huo hawana hivyo ukalale nao gheton kwako ndio upigr hiyo threesome ingesound poa
 
Life has millions way to suprise you.....so usikariri
 
Vizuri Ila uwe tayari kushirikiana na baba Junior unadhani wameachana?!!
 
Kwahiyo ulimla kimasihara?
 
[emoji3] kama una imani juu ya mambo unayoamin yanawezekana, sikulazimishi kuniamin[emoji3].

Ila nikwambie kitu dogo, Dunia imeshatembeza karne za kutosha[emoji16]
 
Mzee huyo kaja kukuingia akitumia gia ya shati lako ukajua kabugi, wakati hiyo ndiyo shabaha yake

Ujue hata mimi nilihisi hivyo ila badae nikajua amechanganya na japo alijua kuna mpunga kwangu, si unajua mademu na wafanyakaz wa benki uwa wanahisi wana pesa.
 
maxter
 
Tangawizi ipo kwa mbalii inabd iongezwe
 
Hahaha Kuna pisi nakula imeenda huko nasubiria mrejesho wa wakurungwa
Safi sana chief.utuwakilishe vema.na siku nyingine uje na story yake kamili ya iyo kimasikhara,ili wakurugwa tuone kama ni masikhara kweli au planned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…