Kuna masihara moja hiyo ya nilimla mke wa jamaa wa TRA tulikutana garage uwa naiandika wakati nataka kuipost roho inasita. Niliapa kutokula mke wa mtu maishani nikavunja kiapo, mpaka leo najilaumu

Weka code mzee ambazo hazifunguki, kisha share tujifunze
 
Masihara za hivi zinakuwaga na back fire. Kaa mguu sawa
 
Ila usijetuletea mamatizo ya singo mama baadae, mume mwenzio akimrudia utulie nyau wewe
 
NIMEPANGA MWAKA HUU 2022 SITAKI KABISA KUZINI NJE YA NDOA YANGU. EE MUNGU NAOMBA NISAIDIE. NA MWANAMKE ATAKAYE NILAZIMISHA NAENDA KUMRIPORT POLISI.
Hutafanikiwa mkuu, wanawake wananguvu Sana katika ushawishi wa kugegedana , sema hata polisi wenyewe watakuweka ndani kwanza utilize akili kama sio kukupiga makofi ili kukuzindua [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…