Nilikuwa na mipango hiyo aisee Jana imeyeyuka Kuna mdada ni jirani yangu anamtoto wa miaka kama 4 hivi Sasa siku mwaka mpya nikawabeba watoto wangu (wao wanaumri mkubwa kuliko mtoto wa jirani) wakati natoka home wakamuona yule mtoto mwenzao nikamtania kijana wangu kuwa umemuona mchumba wako akatabasamu nikashusha kioo nikamuita mama mkwe njoo akaja nikamwambia apande kwenye gari, nikawapeleka Mlimani City wakanunue bites na wacheze kidogo kabla muda wa msosi haujafika. Jirani akamsaka mwanae hajampata ndipo akamuuliza wife ikabidi nipigiwe simu nikamwambia nipo nae na wapo na wenzao, baada ya kurudi nikamshusha jirani akanishujuru sana. Sasa mlo wa kimasihara ukawadia Jana, Mimi nipo natembea kama kunyoosha mwili mbali kidogo na home mara namuona jirani nae anatoka kazini, alanipa hi! Maswali mengi Kisha akaomba anipoze Koo Kwa kinywaji nikasema poa ila nikaomba isiwe mitaa ya home watu wasije wakachukua stori akakubali. Tukachukua bajaji Hadi mahalo Fulani Kuna bar ila Iko ichochoroni tukapata kinywaji mara akasema hapana soda tu maomba niagize kinywaji kigumu tupate nikamwambia kweli akasema serious nikamuonya kuwa nikigonga hicho napandwa na wazimu mguu wa tatu utanisumbua akacheka sana Kisha akasema hata ukisumbua si mkeo yupo nikamdanganya kuwa anaumwa Yuko kwenye mambo yenu Yale. Akasema basi usihofu mambo yatatatuliwa tu nikasema mmmh! Kweli tulipata gamble nikaona huyu ni kumletea K vant nimix Ili kichwa kiwake moto fasta, aisee dk 30 nyingi nikaomba chumba nikala jirani. Sasa Cha kushangaza ananiambia eti alitaka kunipa pongezi Kwa namna navyomjali Binti yake maana Kila nikitoka safari huwa lazima nimletee kitu kama natokea njia ya Iringa ni mwendo wa youghat za Asasi, kama ni Dom Zabibu Ile miezi ya mavuno nk, aisee tuendee kutenda mema Kwa majirani