Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mkeo kuna kitu alijichanganya ila kama ni mtu wa maono lazima aje kushtuka one day. Yeye mwenyewe ndiye wa kujilaumu!

Na Kibaya zaidi wanakaa ntaa mmoja...
Lazima tuu huyo shemela atataka mkeo ajue na Lazima atakuja kujua aiseee Mkeo hatokuamini kamwe...Ipo siku nae atagawa tuu kwa watu wanaimkomalia kila siku![emoji3516][emoji41]
 
Mk

Mkuu, ulichakata kimasihara ndani ya nyumba yako na mkeo?! Aisee ulikua na guts kwelikweli. Ungetafuta japo Guest House ya karibu. Next time usirudie. Japo wanaume tunachepuka tujaribu kupunguza makosa tunayowafanyia wenzi wetu

Huu ni mtazamo wangu wa kiutu uzima lakini. Inawezekana kimasihara ni popote. Inategemea mtu na mtu na mazingira ya tukio lenyewe

Daaa yaani Kafanya Mbaya mwana,
Hapo Huyu shemela atakuja tuu Kumfanya Mke wake ajue..
Tena ni Mtaa mmoja duuu!
Ipo siku atajua tuu...
 
Hamna uzi siupend kuuona kama huu..yaan wanaume wanajisifia humu kutembea na wanawake tuuu zinaa imepewa kipaumbele..Akil zao zpo chini tuu .. crazy men
Ukija humu leta visa vyako, kupenda au kutokupenda uzi ni matatizo yako binafsi mr. Kondoo wa bwana
 
Wazee hakuna aliyekula kimasihara mkesha wa mwaka mpya ?
Leteni visa mnasubiriwa
 
Back
Top Bottom