Mzee kitu usicho kijua ni kua tunachapiwa sana mademu zetu na mabroo au wazee wenye hela. Ukiamua we mrukie tu piga mashine haswa akikuudhi mwambie mbona ulisex na mtu fulani Tena ameoa kabisa. Ukishindwa kuvumilia mteme tu usitengeneze vusasi mtu wangu.
 
Kweli Kaka yaani hata uchape vipi nje utaendelea kuumia tu, yaan labda umchapie mkewe halafu umwambie kua nimemla mkeo. Ndio na yeye ataumia.
 
Best advice ever.
 
Kweli Kaka yaani hata uchape vipi nje utaendelea kuumia tu, yaan labda umchapie mkewe halafu umwambie kua nimemla mkeo. Ndio na yeye ataumia.

Unaweza fanya hivyo na yeye akarudia tena kuku chapia hata ikipita miaka na miaka mkuu mambo ya visasi sio mazuri sahau na endelea mbele. Hamna kitu kigumu kama kumwingilia mwanamke ambae hataki yani huwezi hata iweje unless umbake, sasa imagine katolewa outing, wamekula wamekunywa na mwishowe chupi kavua kaliwa unadhani huyo mtu mbeleni wakikutana tukio likiwa limepoa na mmesameeana na kuyasahau hatokumegea tena? Live and let go ka huwezi kumsamehe achana nae endelea na maisha Ila kumegewa kupo hakna chako peke yako ukimeza hili bila tatizo mambo haya hayawezi kukusumbua.
 
Hii ndyoo kimasihara achanen na hizoo nyingine sijui nkachukua namba nn
 
Hii masihara is well organized na imejishindia Tunzo ya Uandishi bora wa "wala(kula) kwa masihara"
 
Na wewe unamtumia picha za dushe lako bila shaka.
 
Thanks man...daaah
 
mkuu kumpenda nampenda kweliii
 
"Mwanamke wa kumpenda" alikua na minyegez mingi na wewe ukakaa LOFA kwa kusubiria Embe liive lenyewe hadi lianguke... Falasi kalipandia hukohuko juu na Chumvi Mkononi.[emoji23][emoji1787][emoji28]
daaah
 
Poleee sana bro ilikuwajee au kuna sehemu ulizembea maana hawa viumbe ukizembea kidogo tuuu tayarii
Mkuu masafari ya kikazi yamenicost...kaniambia ukweli wote na kaomba nimsamehe, should i ?.. i am still thinking about it..
 
SIKU YA MOJA KABLA YA UHURU 1961 -12-08.

MZUNGU ALIWA KIMASIHARA

Wanangu na wajukuu zangu hii nchi tumepigana kwa mengi ili tupate uhuru hivyo msiuchezee kabisa,
Sisi tumekula kiasihara kwa faida yenu vizazi hivi.
Ilikuwaje ....nikiwa na umri wa ujana miaka 19
Nilipata bahati ya kuwa mmoja wa wafanyakaz kwa Governor Turnbul nyumban kwake kwakweli kazi zilikuwa nying sana kiasi kwamba hatukuweza kumudu ...kufupisha siku moja 1 mtoto wake governor alinituma nika lime bustani iliyokaribu na chumba anacholala..

Wanangu macho mabovu nitaendelea ...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Babu take all the time you need

ila shusha kisa chote kwa mapana yake jinsi ulivyomchapa bakora za kimkakati mkoloni.
 
Babu tupo chini ya miguu yako malizia hii story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…