We weka kisa kwanza ndio watu watakupa mjeresho vzur,karibu mkuu[emoji23][emoji23]
 
Elf 2,to elf 3 ndo bei zake elekezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiandikiwa na Dr njoo nikuuzie Kidonge 800.
 
Kwanza nitangulize samahani kwa mabaharia wote wa kula kimasihara maana nimekosea sana🙌🏽
STORI ILIKUWA HIVI;
Jana nimepanda zangu mjini hapa dodoma mjini akatokea mdada mmoja yani ana bonge la tako!!... yani ni wale ambao hata akiwa amekupa kifua unaona kabisa nyuma palivyotuna.... yani hizo hips sio za nchi hii!!... Nakamfata kwa confidence maan hiyo ndo silaa ya kum-win dem akupe no....nikamuomba no akasema nitajie zako nikamwambia nipe simu yako niandike,,,...kweli akanipa nikaandika na akanitext instant kabla hata sijatoka eneo hilo!!!.... Nikamuuliza mda gan utakuw free tuchati maan nilimkuta yuko busy,,,....ila akachuna hakunijibu!!..Leo asubuh nikamcheki tukachat nikamtumia ile text ya bwana CARLOS kweli akajibu!... Nlimwambia yani nna ham ya kukuona hapa nakuwaza tu wewe,,,, akajibu pole kwa kuniwaza..... nkamwambia njoo basi kwangu upajua akasema hawez!...Nikambembeleza wee akasema anatoka job saa 4 usiku so ataangalia,,,, Mida ya saa 1:30 hivi usiku Niko zangu napiga misosi tena hata nilikuwa nishamsahau kabisa maana mimi kwa siku nachukua hata no 5 za mademu😂😂Akanipigia kwamba leo amewah kutoka kwahyo nimuelekeze ashuke wapi daah sikuamini!!! Mtoto kaja kapiga top nyeupe na trouser nyeupe yani hips zinamwagika nkasema leo najilia mali safi!!...Hao tukaanza safari ya kwenda geto,,, tumefika getini mtoto anasema nimeshapaona siingii ndani daah sikuamini aisee!... Kibaya zaid ninapokaa nje ya geti kuna frame kama 4 hivi na watu wapo kwahyo nkashindwa hata kumbembeleza isije kuwa aibu kwangu! Aisee sijui kwann badilisha mawazo ghafla! Yani ikabidi nimsindikize nikawa nabaki nyuma niangalie lile tako na zile hips! Samahanini wakuu nimewaangusha!!
 
Mzee hivyo ni vipimo tu usioneshe tamaa nae, umefanya vzr ukilazimisha huwa wanakua na temper Sana, ungeharibu Kila kitu. Endelea kuchati nae mvutie Kasi hata siku 4 au 5 hivi. Then mualike kwako.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kaka! Ila lile tako na zile hips mkuu nimesikitika sana kukosa😂😂
 
Mkuu labda hakukuta ghetto alilokuwa anategemea
 
Bladifaken kabisa
Bora umetanguliza samahani
 
Kuna demu nilimuona mahala hapa Dar es Salaam, anyway nikamuomba namba akanipa, nikamtext jion hakujib, nikauchuna mwwz mzima, baada ya mwez kuna siku nikawa na zile njaa za kei kuna wakat inafikaga ukiwa hujala kei muda mrefu unakuwa nayo hamu sana, basi kupitia pitia msg zangu nikakutana na hiyo yake delivered but unreplied, nikamtext tena kwamba aache pozi mwanamke mzima inakuaje atextiwe asijibu, nikaona anapiga eti sorry simu yangu msg natuma hazitoki.

Nikasema nilikumiss karib kwangu gheto, bila hiyana akasema kuna mahali nipo nikitoka jion nitakustua unifuate,

Baharia nikasema ewaa leo napunguza hungry,

Saa moja anapiga njoo unifuate mahali x.

Nikamfuata njian tunapiga story mingi saafi, tumefika gheto sasa lile dubuwashwa si likaanza pozi had maji au soda kila kitu asante, huwa sipend demu mwenye pozi anyway nikasema ngoja nivunge kama sijaona pozi zake nimle asepe.


Akaanza kaa hapa tuongee kwanza, mama yangu zikaanza story hizo za wanaume wakuadi wanavyosumbua na ambavyo hapend kusumbuliwa na wanaume, ikaanza shule ya namna ya kumheshimu msichana na kutokumchukulia poaw kama wanaume wengi wanavyowachukulia wasichana, ikapigwa shulee had nikahisi usingizi, yan sipew kuda wa kusema ni yeye anashusha nondo, nikaona mbinu za kimasihara zote tayari blocked.


Kibaya zaidi lilivyomaliza likasema naomba sasa nisindikize niondoke muda umeenda sana[emoji3][emoji3][emoji1]

Nikalibembeleza lilale likasema wewe acha utani naanzaje kuja kwako na kulala, kwanza nitakuta geti limefumgwa hebu niwahishe basi.

Duuuh nikasema nimekoma kuunguza mafuta ya gari langu leo,
Basi likasimama, nikaenda kulihug niliage hata nililenga akirespond huwa nahug strongly, akilegeza naomba deep kiss, akilegeza nashika tako, akilegeza hatua ya mwisho napemyeza mkono chini ya pichu kupima oil, aisee likakubali hug ila ile ya partialy yan haraka haraka na kuachia,

Nikasema ***** nahangaikia kei, kei zimejaa kila mahali kisha naletewa pozi hapa, nikamaindi kidogo niache kumtoa kurudi kwao ila nikasema anyway ngoja nimpeleke.

Nikampeleka nikashusha nikasepa, naulizwa mbona kama umekasirika mm najibu umeona wapi, relax.
Nikashusha nikasepa, naambiwa usik mwema nikasema haya.


Sikumtafuta wala kumtext, siku tatu akanitafuta whatsapp salaam mm kimia, siku ya tano salaam mm kimia.

Baada ya week akapiga simu akauliza nn shida nikasema najuta kupoteza muda na attention zangu kwa watu wasio faa.

Hahaa wanawake bwana akasema leo nakuja, nikasema ukija upande boda siji huko mm, akapanda akaja, siku hiyo sikusikia naondoka giza limeingia, nikaona mtu anaulizia bafu taulo, akamaliza kuoga bed...

Akalala hapo had moning ila mm ukinitune off first time ndo nakuwa off mazima.

Asbh akaondoka nikakaa kimia kama alivyokuwa amekaa awali, analaumu eti mabaharia wenzangu nisaidieni[emoji3][emoji3][emoji3]
 
mwamba kama mwamba umenifanya nicheke...na hivo vimaji vitatu chwa...chwa..chwa....[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Sasa mkuu, tukusaidie nini, wakati mbususu ilijileta na ukasusa??

Note: Baharia hasusi mbele ya mbususu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…