Soon tu
Mda huu mhasibu wa idara flan nyeti anakuja kuliwa kimasihara kabisa , tumejuana juzi nilipoenda fanya malipo ya bill za serikali ,tuombeane niwawakilishe vyema

Hii siyo kimasihara maana tayari imepangwa na imeratibiwa na vichwa vyako viwili cha juu na chini [emoji851][emoji851]
All in all Kazi njema tuwakilishe vyema [emoji1319][emoji1319]
Tukio zima la hiki kisa n kimasihara kabisa na haina kupingwa mzee
 
Tobaaaaaaaa
 
Mzee hapa ulikuwa unatongoza na si Kutaka masihara, na mwanamke huwa hatongozwi hivyo kama unamtaka malaya umlipe mkalale. Kiufupi huyu umemshusha heshima na kumwona malaya hadi unamwambia hayo, lazima ule tofali.

Wenzako hayo maneno wanayachomwkea wakiwa kama wanachat kimzaha tena wanatumia lugha ya kupendeza kidogo. Wewe upo straight kama unaongea na kahaba wa kimboka
 
Nina kisa kimoja kitamu sana Cha kula kimasihara mtoto mkali sana kutoka pande za Kwa Kinyata county ya 001 (Mombasa)

Tatizo langu kuelezea Kwa mtiririko mzuri na wenye mantiki siwezi jamani.

Nani aje Dm anitumie namba yake nimrekodie voice note
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…