Muwe na shukrani basi, wanawake wakitupa tusiwadharau maana wasipotupa pia tunalalamika.

Kwani wewe ulitakaje? Mwananke akiombwa akatae au akubali?
 
Bado haimo kwenye kamusi yangu ku*o*MBA mhudumu wa gest. Wanakuja utakufa tu. Ndio sikatai nitakufa lakini si kizembe hivi
Mjombaaaa, K hainaga makombo. Kila siku ni mpya, ikishaoshwa haina shobo. Tena bora sex worker wanajihami kuliko hawa unaodhani ni wastaarabu. Malaya anayeijua vyema kazi yake hugongi bila kondom man.
 
Muwe na shukrani basi, wanawake wakitupa tusiwadharau maana wasipotupa pia tunalalamika.

Kwani wewe ulitakaje? Mwananke akiombwa akatae au akubali?
.. akubali faster na asiwe na usumbufu!
 
Aah wapi

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Acha ipasuke tu kwan iko moja duniani[emoji23][emoji23]
 

Nimejibiwa “JIHESHIMU”. Carlos umeniponza
 

Duh mkuu nimekivuruga nimetuma kimakosa kwa mwalimu wangu wa shule, hapa kishacall kama mara 3. Hapa nilipo naiogopa simu yangu mwenyewe moro sijui itakuwaje shule.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ifukie ardhini na mbolea. Mwagia maji mengi na usisahau kuipiga DDT isishambuliwe na wadudu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Huko atakutana na wenye akili timamu huku tuko sisi tuliotiwa ndimu[emoji23][emoji23]
Jf ni kichaka[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]kuna mshikaji mmoja namjua alikuaga DG enzi za Magu yuko jf. Sasa hizo thread zake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]!!!simuonagi jf Palace,wala siasani Mimi!namkutaga humu MMU sana tu!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Halafu unaweza kuta sisi huku ndio tuna akili zetu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu unaweza kuta sisi huku ndio tuna akili zetu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ulijuaje sasaa!!yaani kwanza thread zake nachekaga saaana!haya njoo komenti sasa!utazimia!namchekii nasema nhiii!![emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!!!!yaani humu acha tu huu Uzi wa kimasihara ndo usiseme unaangaliwa balaa!!!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Watu wanasoma na kupita kimya kimya wanajifanya watakatifu humu[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe balaaa ndio wanaongoza kula kimasihara[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…